Wanaume wa Kikristo hizi ndio njia za kuwapata mabinti wazuri wa kiislam ukiwapata hutojutia

Unaweza kudhani umepata kumbe unapatikana....; Sasa ukiwa na utitiri wa watu wanaokupenda / uliowasaliti hapo kuna furaha gani ? Au haujui msemo wa Beware of a Woman Scorned ?
 
Nimedate na baadhi ya waislamu (sio wengi 😂 nisije onekana kiwembe) ila kwa wote, sijawahi tumia jina lisilo la Kigalatia na nikawapata


Nahisi hii ya jina ipo sana maeneo ya pwani (ukiondoa Dar) lakini huku kwengine ni kawaida kukuta mademu wa kiislamu wapo kwa wakristo, na vice versa

Anyway, asante kwa ushauri siku nikienda visiwani ntatumia mbinu yako hii😂
 
Tafuta Hela Hela Kona Kona za nini?
 
tangawizi ndiyo umeweka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…