TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
Uzi mzuri huu... Mimi oyeee! Najua kupenda na kujali mura.... Sipendi upuuzi wowote. Heshima mbele. Kazi kwao tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nko'uhanchile atoto...!
Mimi siku dada yangu akiolewa na mkurya nitampa zawadi ya k-47,shoka,panga,manati,mkuki,kisu,kiwembe maana huko anakokwenda ni zaidi ya darfur.
wakurya deep love tunaijua..! mambo ya kupiga wanawake nowadays hayapo!
endapo mdada atakuwa mtulivu kama mleta uzi alivyosema, hakika utam wa penzi la kikurya utaupata...
mkurya si mtu wa porojo, si mtu wa kubishana hovyo na sweetie wake..
hizi ni criteria muhimu zinazotuweka kwenye kundi maalum la supply of sweet love!! unendless love..
Well said mtoa nada wakurya wanajali sana na sio bahili yaani wanajua majukum yao kwa Wanawake zao ila kwa wale wakurya waliosoma wenye kujitambua......yaani wanajali balaa kikuhonga kwao sio issue utalelewa mpaka uone dunia yote yako ila óle wako umsaliti mkurya
Ila wanaringa Sana aisee
Ne yeke umuhanchere
Tungekua wrote km wakurya nchi ingekuwa imenyooka maana hawa watu hawana longolongo,mzaha wala konakona ktk swala zima la Maisha maana cc wa tz mizaa tunapenda sana.......
Tena mhaya wa KanyigoHuyo wako atakuwa mhaya sisi wakurya hatuna Maringo.
ni wataftaji sana mkuu, hawana asili ya umbea mbea.btw na je wanawake wa kikurya wakoje?
Watakuwa hawana vibamia
ni wataftaji sana mkuu, hawana asili ya umbea mbea.
Ila, negative yao, they are short tempered. Hawapendi dharau kama waume zao walivyo...
wahaya nao wanagawa sana khaa!