Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Uzi mzuri huu... Mimi oyeee! Najua kupenda na kujali mura.... Sipendi upuuzi wowote. Heshima mbele. Kazi kwao tu...
 
Wewe uliza panya road kama walikatiza Kitunda au Kivule huku ndio kuna wanaume.
 
Wanawahiudumia michepuko kuliko mke, mke ukikabidhiwa ng'ombe na eneo la kulima usiulize matumiz, wanalma tumbaku, wanatahiriwa bila ganz, weng hawaoi mtu ambaye ajakeketwa, (jiandae kukeketwa), kwa kuoa wake weng ucseme, hawapend kusomesha watoto wa kike wanawaoza il wapate ng'ombe.
 
Mimi si mkurya but nina marafki zangu wengi wakurya, wote hao wanatabia tofauti ila kuna element ambazo wanafanana, ni wakali si wavumilivu wanatake seriously action kwa makosa madogo, wababe anachotaka yeye kifuatwe na ukubaliane nacho vinginevyo mnagombana, wapo muscular, wanapenda kazi za nje sana.
Kati ya hao niliokaribu nao watatu wameachana na wake zao wa ndoa, baada ya wake kushindwa kuwahili. Wanne ndoa zao ni spana mkononi wote ni ndoa za kanisani. Kazi kwako chaguo ni lako, dunia ni yako
 
Mimi siku dada yangu akiolewa na mkurya nitampa zawadi ya k-47,shoka,panga,manati,mkuki,kisu,kiwembe maana huko anakokwenda ni zaidi ya darfur.

Hahaaha ila Mkuu mi naulizia Tabia zao tofauti na kipigo wanachotoa
 

Nimeipenda hii Mkuu but mnakosa kimoja hapa...to show that deep love
 


Ila wanaringa Sana aisee
 
kuna mkurya mmoja sitamsahau kwenye maisha yangu...hawa watu wengi wao hawafai hata kidogo bora wachukuane wenyewe kwa wenyewe..
 
Labda wakurya waliokulia mjini... btw na je wanawake wa kikurya wakoje?
 
Tungekua wrote km wakurya nchi ingekuwa imenyooka maana hawa watu hawana longolongo,mzaha wala konakona ktk swala zima la Maisha maana cc wa tz mizaa tunapenda sana.......

Hii ndio point ya msingi zaidi na ndio maana makampuni mengi makubwa ya kibinafsi sikuhizi zinawajaza wakenya na waliosoma nje ya nchi...kwa kuona watz wasomi wana mzaha na longolongo nyiingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…