Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

bt mi nna swali kidogo kwa Excel Bantu lady n wakurya wote eti nyumba ntobho ndo nini?nilibahatika kufika tarime nikakaa kwa siku moja nkalisikia hili neno.

Hiyo inakuwa hivi kuna wamama watu wazima na wabibi wengi wao hawakubahatika kuwa na watoto. Sasa kama kuna kasichana anaenda kukachumbia kwa wazazi wake, ng'ombe zinamtoka kwa mahari hapo.

Ili familia iendelee yule binti ataruhusiwa kuzaa na mwanaume ila akijulikana bibi ndio mume na ndio mtunza familia. hope umenipata my wii mtarajiwa.
 
Last edited by a moderator:

Hahhaaa wachaga kaka zako no bhana sitawezana nao. Tuongee hao wasukuma vizuri hata kule room twende hapa kaka zangu wapo washtukizie wanatambulishwa tu.
 
Last edited by a moderator:
nooo lizzy!! iam vere vere young!! young to carry you 100kms without resting!!!

wasukuma upole wao umezidi sometimes hawawezi hata kusema pale panapokosewa.. hilo sie ndo hatuna kabisa!!

ok, where did we reach with our sweetest offer mamii?

Ndio wanachopendewa sasa.
Upole, kujali na ukarimu. Nyie sindio mkikasirika lazima kieleweke. .

Hahaha. . .Ukiprove kwamba unaweza kumbeba "Zena" adui wa "Betina" bila moyo kwenda mbio utatambulika rasmi.
 
Hahhaaa wachaga kaka zako no bhana sitawezana nao. Tuongee hao wasukuma vizuri hata kule room twende hapa kaka zangu wapo washtukizie wanatambulishwa tu.
Bana weeee. .
Kaka zangu nao wako vizuri atiii. Ndio maana wadada wa kisukuma wanaishia uchaggani. Ukikosa msukuma njoo kwetu mwaya, tutakutunza mpaka ufurahi mwenyewe!Heheheeh
 
View attachment 143212

mwanamke wa kikurya
 
owkay nimekupata my wii jaman sante sana nazidi kuvutika fanya fasta wii! yeuuwi nimevutika.
 
owkay nimekupata my wii jaman sante sana nazidi kuvutika fanya fasta wii! yeuuwi nimevutika.

Usijali my wii mume wa kikurya umepata trust me. Kuna kaka zangu ushindwe wewe tu.
 
Mhhh kuna kaka m1 mkurya anani-approach,yani kila nikiwaza kabila lake naahirisha hata kupokea simu yake,Mungu aniepushie mbali vipigo
 
Mhhh kuna kaka m1 mkurya anani-approach,yani kila nikiwaza kabila lake naahirisha hata kupokea simu yake,Mungu aniepushie mbali vipigo
mkubalie tu wamebadirika siku hizi si unaona uzi wao umekaa kimakopa kopa.
 
Wakurya wababe hadi kitandani! I had a kurya man nloyaona na kuexperience mie hapana tena!!
 
Mhhh kuna kaka m1 mkurya anani-approach,yani kila nikiwaza kabila lake naahirisha hata kupokea simu yake,Mungu aniepushie mbali vipigo

wacha chezeya izo watu best asili yao iko pale pale
 
Hahaha unamdanganya mwenzio kumbuka mwenye asili haachi asili yake
ha!ha!haaa!simdanganyi jaman mi namshauri tu maana mwenye nimevutika asijali tutakua wote akidundwa ntamgombelezea.
 
ha!ha!haaa!simdanganyi jaman mi namshauri tu maana mwenye nimevutika asijali tutakua wote akidundwa ntamgombelezea.

kuna mama mmoja alizimiwa kipisi cha sigara kwenye jicho lake hadi sasa ni chongo, hawa watu usiwachezee
 
kuna mama mmoja alizimiwa kipisi vha sigara kwenye jicho lake hadi sasa ni chongo, hawa watu usiwachezee
maama wee kaa basi tena aisee!aafu umenikumbusha kuna jamaa mmoja huku mtaani anambamiza mkewe sana baba wa jamaa anamwambia kijana wake akileta ujinga piga kama mbwa
 
Muraaa...watu wameanza kukuogopa aisee..
K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…