Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
bt mi nna swali kidogo kwa Excel Bantu lady n wakurya wote eti nyumba ntobho ndo nini?nilibahatika kufika tarime nikakaa kwa siku moja nkalisikia hili neno.
Hiyo inakuwa hivi kuna wamama watu wazima na wabibi wengi wao hawakubahatika kuwa na watoto. Sasa kama kuna kasichana anaenda kukachumbia kwa wazazi wake, ng'ombe zinamtoka kwa mahari hapo.
Ili familia iendelee yule binti ataruhusiwa kuzaa na mwanaume ila akijulikana bibi ndio mume na ndio mtunza familia. hope umenipata my wii mtarajiwa.
Last edited by a moderator: