Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Jamani ukiona mkurya amemtwanga mpz wake ujue kuna mawili wakurya hatupendi dharau,ukimwonyesha dharau atakidhalilisha hata mbele ya watu,pili uaminifu.hapo hutasikia ugomvi hata siku moja.
 
ha!ha!haa!umetepeta ayaa kumbe dawa yako ndo hii yani ukiniudh tu dawa yako baba Ghati.

Hahhahhaaa.. Nimeshikwa pabaya si unajua tena #TeamRafiki ilivyo. Halafu ulipitia njia gani kuja piem. Why you took so long?
 
jaman mkurya haachi asil yake they are very crue me mkurya bt cwez kumshauri rafiki yangu awe na mwanaume wa kikurya.

oh! come on Country gal!! you are such a sweet gal that should never use that tongue to say those words!!

we are not of those kinds nowadays!!! hebu kuja nikuonjeshe sukari isiyoisha!! sukari balanced!!! ukilamba unatamani usitoke!!

wakurya hatuko kama unavyowaza mamii!! sisi tukipenda... tunapenda kweli! hatuna mzaha katika love.. hatuumizi wala kuchezea!
 
Last edited by a moderator:
Jamani ukiona mkurya amemtwanga mpz wake ujue kuna mawili wakurya hatupendi dharau,ukimwonyesha dharau atakidhalilisha hata mbele ya watu,pili uaminifu.hapo hutasikia ugomvi hata siku moja.

Hebu waambie kaka yangu, nilikuwa nimeshapata mawifi humu ndani watu wabaya sana si wamewatisha warembo, eti nyie kaka zangu mnapiga sana.
 
Siamini kama umeolewa na mkirya!na kama ni kweli jichunguze wewe kwanza before hujasema haya uliyoandika.
 
Nimeshikwa pabaya si unajua tena #TeamRafiki ilivyo. Halafu unapita njia gani kuja piem. Why you took so long?
ha!ha!ha!haa ukireta muchezo ni panga tu hapa!natokea huku bunju,mwenge,posta ndo nije huko piemu ulipo subiri tu naja sasa hvi.
 
Hebu waambie kaka yangu, nilikuwa nimeshapata mawifi humu ndani watu wabaya sana si wamewatisha warembo, eti nyie kaka zangu mnapiga sana.
yani wifi mi ndo maini yamekatika kabisaa.
 
Mhhh kuna kaka m1 mkurya anani-approach,yani kila nikiwaza kabila lake naahirisha hata kupokea simu yake,Mungu aniepushie mbali vipigo

Wacha kuogopa ilimradi unajiamini na utamheshimu sie wakurya no problem,tunajua kupenda.na kama kuna wachaga humu wajue me Shemeji yao.
 
ha!ha!ha!haa ukireta muchezo ni panga tu hapa!natokea huku bunju,mwenge,posta ndo nije huko piemu ulipo subiri tu naja sasa hvi.

Hiyo route inanichomesha mahindi mamii. Chepuka chap chap. Halafu kua makini hii dialogue asiione Mndengereko wala Utafiti.
 
ha!ha!ha!haa ukireta muchezo ni panga tu hapa!natokea huku bunju,mwenge,posta ndo nije huko piemu ulipo subiri tu naja sasa hvi.

Mama Ghati unaenda wapi acha kumubhonza huyo chamaa nisiche mugeusa Bucha ngocha niwafuate huko piemu na bhanga yangu.
 
Wakurya wababe hadi kitandani! I had a kurya man nloyaona na kuexperience mie hapana tena!!

Mh hapana labda wewe ulikua na haraka,wakurya tunajua love bwana afu tunafundishika ungemwelewesha taratibu ungefurahi.
 
Nyie hakuna cha kupenda ni mateso mwanzo mwisho
 
wakurya heee ndo leo mara ya kwanza nasikia wanasifiwa nawaogopa hta kuwa nao karibu itabid nifanye research yang juu ya wakurya....

ila wasukuma oooh the know how to love n care a woman

Labda wasukuma wa mjini not ntuzu original wee afadhali mkurya.
 
ah,binadamu hukosea sasa cna imani kama wanaelewa hlo hawa watu!!.me nimechanganyika mkurya na mchagga,bt kuolewa tarime aiseeh hapana.

Unaolewa na mkurya sio tarime bwana,baba mkurya au mama?
 
Hiyo route inanichomesha mahindi mamii. Chepuka chap chap. Halafu kua makini hii dialogue asiione Mndengereko wala Utafiti.
eyeyeyeee!unaleta uteam nanihii eh!ntataja mie aafu waione wadau.
 
Mama Ghati unaenda wapi acha kumubhonza huyo chamaa nisiche mugeusa Bucha ngocha niwafuate huko piemu na bhanga yangu.
echechechee bhaabha Ghati muoghope Mungu Window7 mwenyewe ameköndeana utamumaari bhwana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…