Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Jamani ukiona mkurya amemtwanga mpz wake ujue kuna mawili wakurya hatupendi dharau,ukimwonyesha dharau atakidhalilisha hata mbele ya watu,pili uaminifu.hapo hutasikia ugomvi hata siku moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha!ha!haa!umetepeta ayaa kumbe dawa yako ndo hii yani ukiniudh tu dawa yako baba Ghati.
jaman mkurya haachi asil yake they are very crue me mkurya bt cwez kumshauri rafiki yangu awe na mwanaume wa kikurya.
wakurya wanajua kupenda lakn ukileta ukorofi kidogo wanakuwa mbogo..akuh ctak mkurya mimi!..
Tulia usilete ukorofi,ufurahie mapenzi.
Jamani ukiona mkurya amemtwanga mpz wake ujue kuna mawili wakurya hatupendi dharau,ukimwonyesha dharau atakidhalilisha hata mbele ya watu,pili uaminifu.hapo hutasikia ugomvi hata siku moja.
Katika kumi wenye sifa unazoziongea ni 2 au mmoja. Binafsi nimeolewa na Mkurya ni shida tupu. Nimeona wengi walioolewa na wakurya shida walizo nazo. Wakurya wa kijijini wanawapa wake zao mashamba tu, lima watoto wale na yeye ale vizuri, zaidi ya hapo utamsikia kwa mke mwenziyo. Ni wasumbufu kuliko maelezo, muda wote wanajiona wana haki. Kwa ujumla hata watoto wangu siwashauri kuolewa na wakurya.
ha!ha!ha!haa ukireta muchezo ni panga tu hapa!natokea huku bunju,mwenge,posta ndo nije huko piemu ulipo subiri tu naja sasa hvi.Nimeshikwa pabaya si unajua tena #TeamRafiki ilivyo. Halafu unapita njia gani kuja piem. Why you took so long?
yani wifi mi ndo maini yamekatika kabisaa.Hebu waambie kaka yangu, nilikuwa nimeshapata mawifi humu ndani watu wabaya sana si wamewatisha warembo, eti nyie kaka zangu mnapiga sana.
Mhhh kuna kaka m1 mkurya anani-approach,yani kila nikiwaza kabila lake naahirisha hata kupokea simu yake,Mungu aniepushie mbali vipigo
ha!ha!ha!haa ukireta muchezo ni panga tu hapa!natokea huku bunju,mwenge,posta ndo nije huko piemu ulipo subiri tu naja sasa hvi.
ha!ha!ha!haa ukireta muchezo ni panga tu hapa!natokea huku bunju,mwenge,posta ndo nije huko piemu ulipo subiri tu naja sasa hvi.
Wacha kuogopa ilimradi unajiamini na utamheshimu sie wakurya no problem,tunajua kupenda.na kama kuna wachaga humu wajue me Shemeji yao.
Wakurya wababe hadi kitandani! I had a kurya man nloyaona na kuexperience mie hapana tena!!
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe kona kona au mduara utakula mema ya nchi naombeni mfute ila dhana ya kuwa wakurya tunapiga wanawake hayo yalikuwa zamani.
wakurya heee ndo leo mara ya kwanza nasikia wanasifiwa nawaogopa hta kuwa nao karibu itabid nifanye research yang juu ya wakurya....
ila wasukuma oooh the know how to love n care a woman
ah,binadamu hukosea sasa cna imani kama wanaelewa hlo hawa watu!!.me nimechanganyika mkurya na mchagga,bt kuolewa tarime aiseeh hapana.
eyeyeyeee!unaleta uteam nanihii eh!ntataja mie aafu waione wadau.Hiyo route inanichomesha mahindi mamii. Chepuka chap chap. Halafu kua makini hii dialogue asiione Mndengereko wala Utafiti.