Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
hahahaaaaaaa wewe kijanaaaa
ha ha ha ha mkurya
Kuna stori nilisikia licha sio wahaya wote ila kuna jamaa alikuwa anasimulia kuwa baadhi ya wakina dada na wanawake wa kihaya wanawapenda sana wanaume wa kikurya.....wanasema hawa jamaa kitandani wako vizuri .....na akatajaa
kuwa wakina dada wa kihaya wakijua mwanaume ni mkurya hupenda kutaniana
""mtani unaweza mambo wewe"" punguza ushamba njoo mtani ..jamani mtani nikufundishe ile kitu ya chuma mboga tulee""
jamani....hebu tuambizanehivi ni kwelii katika hili..