Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Kuna stori nilisikia licha sio wahaya wote ila kuna jamaa alikuwa anasimulia kuwa baadhi ya wakina dada na wanawake wa kihaya wanawapenda sana wanaume wa kikurya.....wanasema hawa jamaa kitandani wako vizuri .....na akatajaa

kuwa wakina dada wa kihaya wakijua mwanaume ni mkurya hupenda kutaniana

""mtani unaweza mambo wewe"" punguza ushamba njoo mtani ..jamani mtani nikufundishe ile kitu ya chuma mboga tulee""

jamani....hebu tuambizanehivi ni kwelii katika hili..
 
WAkurya wanajua sana mapenzi.....na wakipenda wamependa kweli.....ila tatizo lao tuu kubwa ni maafande.....

ni kweli wahaya wengi wanawapenda sana wakurya..... hawa jamaa wanajua sana dozii.....kitandanii
 
Sidhani kama ni kweli, ukweli uko hivi, Wahaya kama kabila, watani wao wakubwa ni watu wa Mara, so kama umewahi kuwasikia wakisema hivyo jua ni mambo yao yale ya utani wa kimakabila!
 
SIO WAKURYA WOTE MKUU BALI WANAOHUSIKA NI WALE WA Tarime KWA SABABU KABLA YA GEMU HUWA WANAVUTAGA KWANZA ILE KITU YA AKINA HAILE (BOB MARLEY) HIVYO AKIANZA MECHI DEMU ANAWEZA AKATOKA BALU MWENYEWE LABDA KAMA YEYE NI KICHECHE WA UKWELI.
 
Kuna stori nilisikia licha sio wahaya wote ila kuna jamaa alikuwa anasimulia kuwa baadhi ya wakina dada na wanawake wa kihaya wanawapenda sana wanaume wa kikurya.....wanasema hawa jamaa kitandani wako vizuri .....na akatajaa

kuwa wakina dada wa kihaya wakijua mwanaume ni mkurya hupenda kutaniana

""mtani unaweza mambo wewe"" punguza ushamba njoo mtani ..jamani mtani nikufundishe ile kitu ya chuma mboga tulee""

jamani....hebu tuambizanehivi ni kwelii katika hili..

Unayajua makabila ya kikurya?
 
Ni kwamba wanayajua mapenzi sana,wana mafanikio sana au wameacha ile tabia yao ya kupiga mangumi wake zao?maana siku hizi hapa mjini mabinti wenzangu naona kama ndo fashion,kila shoct wangu anamilikiwa na mwanaume wa kikurya!
 
Au una maana Wakurya ndio wenye pesa hapa mjini siku hizi? Au na wewe ni mkurya and you can not look beyond akina mura?
 
Back
Top Bottom