Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

mmmmmh kuhusu kabila tuta maliza yote hapa nchini
 
Habari za siku mingi wakuu,

Naomba kujua tabia za mwanaume wa Kikurya. Thank u.
 
Ni wanaume wenye mapenzi ya dhati yenye kufungamana na wivu unaozidi wanaume wote duniani kiasi cha kuweza kuuwa wanapohisi kuchepukwa.....Ngoja waje majirani zao maana huku kwetu mbali kiasi.
 
Ni wanaume wenye mapenzi ya dhati yenye kufungamana na wivu unaozidi wanaume wote duniani kiasi cha kuweza kuuwa wanapohisi kuchepukwa.....Ngoja waje majirani zao maana huku kwetu mbali kiasi.

Je, na wenyewe wanakuwa wametulia au nao michepuko mingi?
 
ni heri umpigie mkewe lakini sio mchepuko au mtoto atakukata shingo .....kipigo kwa mkewe ni kitu cha kawaida hata awe profesa au docta atatoa kichapo tuu kwa kosa dogo kama la kuweka chumvi nyingi kwenye msosi
 
nna ndugu yangu aliolewa huko wote wawili walimaliza sua masters tulimwambia hao hawaachi asili yao ya kupiga hata awe msomi vipiii...ndoA HAIJAKAA hata miaka miwili imekufa kutokana na kipigo alichaokua anakipata .......ukiuliza hayo makosa utacheka ni ya kipuuzi
 
mimiMEE
Wakurya hawana mzaha mzaha, ukizingua unadundwa sana tu, cha msingi ukiheshimu ndoa yako kila kitu kitakua clear.

Ila nataka kujua ni Wakurya wa wapi unaoulizia wewe, maana siku hizi kila mtu akitoka mkoa wa Mara anajiita Mkurya.
 
Last edited by a moderator:
Ni wanaume wenye mapenzi ya dhati yenye kufungamana na wivu unaozidi wanaume wote duniani kiasi cha kuweza kuuwa wanapohisi kuchepukwa.....Ngoja waje majirani zao maana huku kwetu mbali kiasi.

Wanajua sanaaaaa kupenda na kucare, wivu ndio msingi wa penzi, kunako 6kwa6 sasa ndio uwiiiiiii roho yangu mm, sisemi mengi ila duuuuh!! Hawa ndio wanaume.
 
Danger wanajua kuonga mabibi zao.Lakini akikuoa ni kipigo tu.Ni shidaa kuna boss namjua alimuhonga bibi yake ofisini gari ,tena la bei mbaya.Lakini mkewe duh hana mbele wala nyuma.
 
wakuu kule nasikia panga ni jambo la kawaida sana, cjui ni watu wa aina gan hao!!!!!
 
Weye utakuwa Mkurya wewe...hebu ngoja nimuulize Viol hehehe!!!

Wanajua sanaaaaa kupenda na kucare, wivu ndio msingi wa penzi, kunako 6kwa6 sasa ndio uwiiiiiii roho yangu mm, sisemi mengi ila duuuuh!! Hawa ndio wanaume.
 
Last edited by a moderator:
Weye utakuwa Mkurya wewe...hebu ngoja nimuulize Viol hehehe!!!

Wee Watu8 wewe hii kazi km ya babu Asprin umeianza lini? Yaani hata kunusa ukurya sina kabisaaa! Ila my huby ni mkurya, yaani we acha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Tungekua wrote km wakurya nchi ingekuwa imenyooka maana hawa watu hawana longolongo,mzaha wala konakona ktk swala zima la Maisha maana cc wa tz mizaa tunapenda sana.......
 
Jifunze kwanza kupika "ubusara" pia jifunze kuandaa kichuri,tena kile kiwekwacho pilipili kichaa.
huku siye hatunywagi chai wala sembe,msosi wetu mtama na kama una zamu ya kuchunga siku hiyo lazima upige kitu cha mtama mwekundu asubuhi.
Pia jifunze kuendesha baiskeli na pia jifunze kuita mbwa kwa miruzi.Jiandae kwenda kuchunga itakapobidi.Kisimani kuteka maji na mtungi wa lita50 kichwani ni kawaida kila siku alfajiri saa11.
So kabla ya kutaka kujua tabia zetu kwanza jitathimini kama utaweza hiyo style yetu ya maisha.
Na ninakuonya usije ukathubutu eti unamuandalia mwanaume wa kikurya chai ya rangi asubuhi na mkate,hizo kitu haturagi "mura" maana zinapunguza kasi ya gwaride la chumbani.
Siye asubuhi ni "KIDOGO" cha pundamlia tena kile cha kunuka na ugari wa mtama mwekundu pembeni lita1 ya maziwa mgando mtindi.
Hizo sijui cake,vitumbua,maandazi tupa kule bi dada.
 
Back
Top Bottom