Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Dada yangu kaolewa huko kwa wakurya hamna lolote la maana zaidi Ya ukoo mzima kutaka kuhamia kwake. Mume mwenyewe cha uvivu dada ndo anamweka mjini.
Hakuna cha kupendwa wala upendo.
Mume ni kuchepuka kila kukicha

Dadako atakuwa kaolewa na mhaya.
 
Wanaume wa kikurya ni wabinafsi, wanatumia nguvu hata ambapo siyo maala pake pia wana tabia za kishirikina.
 
Watakuwa wahaya hao wakurya hatuna ushirikina.

Wakurya mnaamini sana mambo ya waganga! kwa kisingizio cha kuchinjia na matambiko kibao, sababu kubwa ni kwa ajili ya kuoa wake wengi, hivyo wanakuwa na chuki baina yao, kwa kuwa mwanamke hana uwezo wa kumpinga mmewe. Hivyo wanakuwa na vita za siri.
 
Ni kweli kabisa wakurya wanajua kupenda na kujali mwanamke
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe kona kona au mduara utakula mema ya nchi naombeni mfute ila dhana ya kuwa wakurya tunapiga wanawake hayo yalikuwa zamani.
 
Huwa nawaonaga maboya sana wanaogeneralize mambo kwa kutaja ukabila,sijui kabila hili ni hivi kabila like wako hivi ni USHAMBA WA KIWANGO CHA LAMI kwa dunia hii ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha!ha!haaa!duh!
yaare maambo ya maama bhoke raara nikurare bhana! mmeacha kumbe.
hayo yalikua enzi za 1800, we hujakutana na kijana mkurya, msomi, mwenye pesa, alivyo romantic. Yani hata kama hana pesa mungu alitujalia maumbile, wanapendwa sana na wadada wa kilimanjaro, manyara na dsm
 
ha ha nitamuoa mimi mkurya
kwetu ukioa umeoa, hatunaga msamiati wa kuachana mkuu, zunguka bar zoye unazojua ukikuta barmaid mkurya uje nikupe laki.
Wadada wakikurya heshima kama yote anaanzia wapi kuuza bar!!
 
kwetu ukioa umeoa, hatunaga msamiati wa kuachana mkuu, zunguka bar zoye unazojua ukikuta barmaid mkurya uje nikupe laki.
Wadada wakikurya heshima kama yote anaanzia wapi kuuza bar!!
kweli mkuu dada zetu awawezi kuwa barmaid,ila mbona mabinti wengi wa kichaga ni barmaid nauliza
 
Wakurya mnaamini sana mambo ya waganga! kwa kisingizio cha kuchinjia na matambiko kibao, sababu kubwa ni kwa ajili ya kuoa wake wengi, hivyo wanakuwa na chuki baina yao, kwa kuwa mwanamke hana uwezo wa kumpinga mmewe. Hivyo wanakuwa na vita za siri.
wakurya hatuamini ushirikina bana
 
hayo yalikua enzi za 1800, we hujakutana na kijana mkurya, msomi, mwenye pesa, alivyo romantic. Yani hata kama hana pesa mungu alitujalia maumbile, wanapendwa sana na wadada wa kilimanjaro, manyara na dsm
true that
 
Back
Top Bottom