- Thread starter
- #61
kuna mama mmoja alizimiwa kipisi vha sigara kwenye jicho lake hadi sasa ni chongo, hawa watu usiwachezee
Hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja sio wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mama mmoja alizimiwa kipisi vha sigara kwenye jicho lake hadi sasa ni chongo, hawa watu usiwachezee
nani tena ananiogopa eli?Muraaa...watu wameanza kukuogopa aisee..
K
mh!gubu nyie bwana kaama wazaramo mwe.Hongereni ngoja na sisi wandengereko tujifunze kutoka kwenu.
wakurya deep love tunaijua..! mambo ya kupiga wanawake nowadays hayapo!
endapo mdada atakuwa mtulivu kama mleta uzi alivyosema, hakika utam wa penzi la kikurya utaupata...
mkurya si mtu wa porojo, si mtu wa kubishana hovyo na sweetie wake..
hizi ni criteria muhimu zinazotuweka kwenye kundi maalum la supply of sweet love!! unendless love..
Hebu nisalimie wifi yangu hapo Kitunda.....
Nafasi zipo wazi piemu mkurya yeyote aje nimevutika mzima mzima jaman!mtima wangu uwazi niko tayari kuitwa mama chacha,Marwa,Mwita etc.
eh!vigezo ndo tatizo basi tena.Nipo hapa ila useme wewe kabila gani makabila haya mwiko kwa Wakurya wahaya inasemekana wana roho mbaya,wazaramo hawa wanaongea sana na sisi hatutaki maneno mingi, wachaga wanapenda pesa ukiwa Msukuma itakuwa added advantages.
Mwanamke kupigwa ni suna
eh!vigezo ndo tatizo basi tena.
none of them sema sio msukuma ghete sijui itakuaje.Kwani we mzaramo,mhaya,au mchaga?
none of them sema sio msukuma ghete sijui itakuaje.