Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Waluguru walindwe sana na ikishindikana wapelekwe sehmu moja tuwe tunaenda kulipa kiingilio ili kuwaona
 
Morogoro iwe jiji kuwaenzi Machifu toka milima ya Uluguru eg. Chief Kingalu
 
shida yenu nyie watani zetu walugulu ni wafupi sana, na mna vigimbi, sijui tukawatupe wapi aisee. si mwanaume si mwanamke ana vigimbi kwasababu ya kupanda milima huku amebeba magimbi na nyanyachungu. utafikiri ndugu zenu wapare wanavyohangaika na tangawizi. nao mnafanana.
 
mjomba mkude tafuta hela watakuja wenyewe na watakuheshimu na kukuita baby ingawa ni kijeba
 
Back
Top Bottom