Wanaume wa kiMassai. . .

Wow!!☺️ Kama intention haijabadilika miaka yote hii basi una hoja, unapaswa usikilizwe.πŸ€“πŸ€“

Ila ngoja kwanza nirudi kwa mabebere ndio tuongee!😁😁
Kumbe umesharuka? Najuwa mambo mazuri zaidi yanakuja.

Waiting for you, uko msiri sana mrembo.
 
Kumbe umesharuka? Najuwa mambo mazuri zaidi yanakuja.

Waiting for you, uko msiri sana mrembo.
Bado bado ndio najitafuta ili niruke Dr. ☺️☺️

Kweli mambo mazuri nakuja!!!🀩
 
Mi najiuliza tuu, hivi mwanamke anaweza kuchunga kundi la ng'ombe, mbuzi na kondoo zaidi ya 2000 na kuhakikisha hapotei hata mmoja au kuliwa na wanyama wakali na wote wameshiba ndipo uwarudishe zizini?
 
lizzy,
usiniambie uko vijijini ndio shughuli yao kuhudumiwa tuu dah!
basi wakija dar wanacope enh kidogo, me love them bana, wana weusi mzuri, wamepanda, those waliokwenda shule wako na brain then wanajituma haooo dah!
Mambo mrembo ,mimi ni mmasai wa rohoni . asante kwa sifa
 
Bibi zenu hawakulalamika hayo nyie ndio mlalamike
 
Nilitaka sana kumjibu huyu dada,mama, Binti whatever might that be, embu tuelezee tomaduni na Mila za kabila lako na mpaka sasa zimekusaidia nn ww kama mwafrika na je inaziishi? What I'm seeing here you are dissing and disrespecting people's tribes! Unazungumza as if unajua na kuelewa tomaduni za watu kwa kuzungumza uwongo, usitafute sifa kwa namna hii find other ways na kama huna uwakika na jambo uliza. Wewe si Maasai na hujui lolote licha ya yale ulio yaona,kuambiwa au kusoma mitandaoni na darasani juu ya Makabila mengine.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…