Wanaume wa leo tutimize majukumu yetu ipasavyo..

Wanaume wa leo tutimize majukumu yetu ipasavyo..

Mkuu mm nimekulia kijijiji na nimeyaishi hqyo misha. Kaka msoto ni wakati wa kilimo tu mkivuna ni full bata. Na kama mavuno ni mazuri ina maana hadi kipindi cha kilimo mazao yanakua mengi. Hapo ndio maza anaanza kuwauzia baadhi ya mazae wengine ili kupata ya mboga maana wakati wa kiimo mboga huwa adim kidogo.
Nowadays life, everything you have to buy. Ndio maana sometimes wanaume huonekana kulega lega. Na mama akitoa 5k yake akanunua mboga, JF nzima tutajua
Mi nimekulia huko pia. Katika kulima hamjawahi kumbana na ishu ya wadudu au magonjwa ya mimea ukakuta shamba zima halifai? Au huna pesa ya mbolea so unakuta mhindi mkubwa ila ndani hakuna kitu?

Na kwa kilimo cha mkulima wa wastani ni hawezi kuacha kulima mazao ya biashara akalima kwa ajili ya chakula kwa 100% ana ekari 2 mfano atalima alizeti na mahindi kisha kaeneo kadogo anapanda viazi vitamu. Akivuna hayo mahindi na alizeti aanze kutafuta soko.

Maisha ya kulima hayana wepesi huo
 
Back
Top Bottom