Wanaume wa leo tutimize majukumu yetu ipasavyo..

Mi nimekulia huko pia. Katika kulima hamjawahi kumbana na ishu ya wadudu au magonjwa ya mimea ukakuta shamba zima halifai? Au huna pesa ya mbolea so unakuta mhindi mkubwa ila ndani hakuna kitu?

Na kwa kilimo cha mkulima wa wastani ni hawezi kuacha kulima mazao ya biashara akalima kwa ajili ya chakula kwa 100% ana ekari 2 mfano atalima alizeti na mahindi kisha kaeneo kadogo anapanda viazi vitamu. Akivuna hayo mahindi na alizeti aanze kutafuta soko.

Maisha ya kulima hayana wepesi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…