Wanaume wa mikoani bana... sijui lini mtajanjaruka!!!

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaah....

EBANA SAWA :
Cku ya tatu leo nipo naperuzi mitaa mbali mbali ya hapa wanapaita jiji la Mwanza.....

Kwa kweli kitu kikubwa nilicho notice utofaut kati ya BONGO na mikoani ni kuwa watu wa mikoani ni washamba sana....

Jana mnakumbuka niliwapa baadhi ya ushahidi kwann nasema washamba, kuanzia tugari twao, ukija kwa madem zao, tu daladala twao twa mgongo wa kobe, yaan vitu vingi....

Sasa watu wakasema ooooh engineer hututendei haki watu wa Mwanza, Mbona mikoa mingine husemi?????

Nyie wa mikoani wote ni washamba tuu...

Dodoma (makao makuu)
Wakiona cruser mpya ina watu wamebeba equipments za utafiti wa udongo wanasema wanyonya damu na na parapanda itapigwa kijiji kizima...

Arachuga
Wakiona wazungu wamevaa smart glasses wanasema wanawachungulia sehem nyeti... Parapanda itapigwa Na sungusungu wanaitwa....

Aisee.... Hiyo mifano kiduchu tu inatoa general overview ya watu wa mikoani, sio wanaume sio wanawake woote ni WASHAMBA....

This month I will be very tight moving around all what you call big cities in TZ for official responsibilities....

While I move around, sitoacha kuwaletea ushamba wa wanaume na wanawake wa mikoani...

ARACHUGA JIANDAENI NAKUJA

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Yaani wewe unaona bongo imeendelea sana??? Nafikiri wewe ndo mshamba nambari moja.
 
Naona kuanzia jana mwanaume umekomaa na wanaume wa mikoani. Angalia, waweza ukashindwa kurudi Dar. Usije ukasema kuwa hukuonywa!

===> Na majibu yako ni predictable: Acha Ujinga, Umekula maharage ya wapi? [emoji23][emoji23][emoji23].

Huyu hapa mwanaume wa Dar mwenzio kaenda kutembelea ndugu na jamaa kijijini. Ulimi nje nje utafikiri ana-ovulate!
 
Huna la maana
Nyie wa Dar mbona Scorpion anatoboa watu macho mchana kweupe mnamuangalia uanaume wenu ni nini
Aje Arusha afanye hivyo Aone PUMBAVU SANA
 
panya road na scopion wanaweza wagegedea wake zenu na mkanyamaza tu, dhaif sana nyie. tukio la scopion mkaliangalia tu aibu sana
 
Asante Vasco Da Gama..
 
ha ha ha ha sio ridhiki hao
 
Huna la maana
Nyie wa Dar mbona Scorpion anatoboa watu macho mchana kweupe mnamuangalia uanaume wenu ni nini
Aje Arusha afanye hivyo Aone PUMBAVU SANA


SASA kutoboana macho na USHAMBA vina husiana vipi hapo?????
Mi najaribu kuwa saidia muondokane na ushamba wenu... Hayo matukio ya uhalifu yapo katika majiji yote makubwa duniani....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 


Umeona sasa hao wanawake wa mikoani walivyo??? Utadhan wanaume.... Wamekomaa kishenz.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
umeona mwenzio jana kaponda wanaume wa nje ya Dar we nawe unajaribu? ndo maana mnanenepeana matako na matiti wanaume wazima, hamna akili


ACHA tunenepeane maisha mazuri, hela tunazo kwann tusinenepeane....
Point ya msingi hapa ni kuwa sie ni wajanja nyie ni washamba....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…