made
JF-Expert Member
- Jun 29, 2010
- 890
- 583
Kwa hiyo dar haina wenyeji...upo tu!jipange ndgNapita. Ila ikumbukwe watu wa dar ni wakimbizi tu. Kila mtu anamkoa alikotoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo dar haina wenyeji...upo tu!jipange ndgNapita. Ila ikumbukwe watu wa dar ni wakimbizi tu. Kila mtu anamkoa alikotoka.
umeona mwenzio jana kaponda wanaume wa nje ya Dar we nawe unajaribu? ndo maana mnanenepeana matako na matiti wanaume wazima, hamna akili
kunenepeana makalio ndo ujanja? nani kakuambia kunenepeana matiti mtoto wa kiume ndo maisha mazuriACHA tunenepeane maisha mazuri, hela tunazo kwann tusinenepeane....
Point ya msingi hapa ni kuwa sie ni wajanja nyie ni washamba....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Tandale ni Dar ndugu yangu.Uyu jamaa anajisifu kuwa yeye ni wa Dar kumbe anaishi tandale kwa bibi nyau
ukija nitafute nikuzungushe kwenye jiji na hii range yanguNiaje wazeiyaaah....
EBANA SAWA :
Cku ya tatu leo nipo naperuzi mitaa mbali mbali ya hapa wanapaita jiji la Mwanza.....
Kwa kweli kitu kikubwa nilicho notice utofaut kati ya BONGO na mikoani ni kuwa watu wa mikoani ni washamba sana....
Jana mnakumbuka niliwapa baadhi ya ushahidi kwann nasema washamba, kuanzia tugari twao, ukija kwa madem zao, tu daladala twao twa mgongo wa kobe, yaan vitu vingi....
Sasa watu wakasema ooooh engineer hututendei haki watu wa Mwanza, Mbona mikoa mingine husemi?????
Nyie wa mikoani wote ni washamba tuu...
Dodoma (makao makuu)
Wakiona cruser mpya ina watu wamebeba equipments za utafiti wa udongo wanasema wanyonya damu na na parapanda itapigwa kijiji kizima...
Arachuga
Wakiona wazungu wamevaa smart glasses wanasema wanawachungulia sehem nyeti... Parapanda itapigwa Na sungusungu wanaitwa....
Aisee.... Hiyo mifano kiduchu tu inatoa general overview ya watu wa mikoani, sio wanaume sio wanawake woote ni WASHAMBA....
This month I will be very tight moving around all what you call big cities in TZ for official responsibilities....
While I move around, sitoacha kuwaletea ushamba wa wanaume na wanawake wa mikoani...
ARACHUGA JIANDAENI NAKUJA
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sasa tandale kuna nin la maana mpaka ulinge pumbavu akili zako kama leprofeseri la buguruniTandale ni Dar ndugu yangu.
Nisamehe mimi nilifikiri hupajui ndiyo nikawa nakuelekeza.Sasa tandale kuna nin la maana mpaka ulinge pumbavu akili zako kama leprofeseri la buguruni