Wanaume wa mikoani bana... sijui lini mtajanjaruka!!!

Ila mikoani watu washamba sana....kidoogo wanapoanza kuja kariakoo na chuo kikuu ndo wanaanza kupata mentality ya ki dar dar....
 
Kwanza unavotamka tuu,we umepitiliza kwa ushamba eti tu gari twao!!! Hahaaha
 
umeona mwenzio jana kaponda wanaume wa nje ya Dar we nawe unajaribu? ndo maana mnanenepeana matako na matiti wanaume wazima, hamna akili

Wanaume wa dar bhana..
1.Wamejifanya wajanja wamekula sana Chips kuku, burger....miaka imeaanda ikarudi Wanawake wao wakaanza kulalamika hawaridhishwi kitandani.(Wakezao wakapata faraja mikoani kwa hao wanaoitwa washamba).
2. Gym kila jioni na asubuhi kutunisha vifua tu, mara six pack..Wakaja Panya road wakawachezsha kwata jiji lote likazima(hakuna gym, wala six pack), Mara Scorpion Akawatoboa macho hadharani huku wanashuudia na vifua vyao vikubwa na six pack zao, sa hivi wamekuja Black Americans.

Mambo kama hayo huyapati mikoani Kwa wanaume tunaojua majukumu yetu .(NO TIME TO SHOW OFF)
 
Endelea kuzunguka na kujifunza Mikoani, najua ukimaliza ziara zako, Utakua umecopy mambo mengi ya mikoani na kuyapeleka kwa wanume wenzio wa dar....

Ila Usiache kwenda Mara please......
 
[emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] heheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa kweli nashukuru nimehamia Dodoma maana wanaume wa dar sio kabisa... Halafu hata hayo mambo unayoshangaa huko mikoani kwako pia ni ushamba vilevile.
 
ACHA tunenepeane maisha mazuri, hela tunazo kwann tusinenepeane....
Point ya msingi hapa ni kuwa sie ni wajanja nyie ni washamba....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
kunenepeana makalio ndo ujanja? nani kakuambia kunenepeana matiti mtoto wa kiume ndo maisha mazuri
 
Uyu jamaa anajisifu kuwa yeye ni wa Dar kumbe anaishi tandale kwa bibi nyau
 
ukija nitafute nikuzungushe kwenye jiji na hii range yangu
 
Kwa akili kama za alieandika hii habari.... Sishangai kwanini dar kuna mashoga wengi.. Yaan akili zao hata kuku ana afadhali
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…