Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Samahani Mzigua.... Uanaume ni stage adimu kiuhalisia. Nadhani huyo bado "mvulana" kama sio wale wakina "Juma-dada"Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Mzigua ana UGOMVI na wanaume wa mji wao ... hataki mambo ya mwanaume KUJI-SELFISHA teeeena PUBLIC .... but wazo lako lina ukweli pia ndani yake ...My dear mjini ni shule huwezi jua kupato chake hutoka wapi. Hizo picha si ajabu zinamuwekea ugali mezani
naona hatuheshimiani sasa ..!?Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
asanteMy dear mjini ni shule huwezi jua kupato chake hutoka wapi. Hizo picha si ajabu zinamuwekea ugali mezani
Huyo kaka umeambiwa ni mwana Jf? Dawa ya mtu kama huyo ni kumuharibia picha zake kwa nguvu za Giza, akijipiga picha anatokea ana kichwa cha FISIKuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Kweli kabisaMy dear mjini ni shule huwezi jua kupato chake hutoka wapi. Hizo picha si ajabu zinamuwekea ugali mezani
Wenyewe wanaita usasa kwamba wanaenda na dunia inavyokwenda ila mmmmnh wanazidi alaf inakera na wengine zile filter za maua wanajiwekea pyeeeeeKuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Du mshitue bhanaKuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
hahaaaa wataka apatwe na uchiz sasa ...hiyo elimu unayo mkuuHuyo kaka umeambiwa ni mwana Jf? Dawa ya mtu kama huyo ni kumuharibia picha zake kwa nguvu za Giza, akijipiga picha anatokea ana kichwa cha FISI