Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.