Wanaume wa mji wetu

Wanaume wa mji wetu

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
 
Samahani Mzigua.... Uanaume ni stage adimu kiuhalisia. Nadhani huyo bado "mvulana" kama sio wale wakina "Juma-dada"
Nimewaza tu, no hard feelings!
 
My dear mjini ni shule huwezi jua kupato chake hutoka wapi. Hizo picha si ajabu zinamuwekea ugali mezani
Mzigua ana UGOMVI na wanaume wa mji wao ... hataki mambo ya mwanaume KUJI-SELFISHA teeeena PUBLIC .... but wazo lako lina ukweli pia ndani yake ...

By the way nifikishie ushaur kwa rafiki yangu mzigua kuwa itakuwa bora KISEMANTIKI (semantic) akitumia SNAPS ama SNAPSHOTS badala ya hiyo SNAPCHAT ...

Snapchat >> this is a name for a social media that's meant/ designed for sending photos, videos or messages ....

Snaps/snapshots >> these are photos/ photographs taken using a hand held camera ...

Mwambie ni just USHAURI TU ... maana naogopa nisije ambiwa mbea ...
 
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
naona hatuheshimiani sasa ..!?

kwahiyo ndio umeamua uje huku kunisema ..hahaa
 
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Huyo kaka umeambiwa ni mwana Jf? Dawa ya mtu kama huyo ni kumuharibia picha zake kwa nguvu za Giza, akijipiga picha anatokea ana kichwa cha FISI
 
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Wenyewe wanaita usasa kwamba wanaenda na dunia inavyokwenda ila mmmmnh wanazidi alaf inakera na wengine zile filter za maua wanajiwekea pyeeeee
 
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Du mshitue bhana
 
Back
Top Bottom