Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizuri aisee maana kuna yule Uzi wake umo humu yule ju mong le Chinese dingi yake kasepa kitambo.Naona wengi watakaotajwa watakuwa wamerudi mikoani
Tunasubiri majibu
HahahahhaUko vizuri aisee maana kuna yule Uzi wake umo humu yule ju mong le Chinese dingi yake kasepa kitambo.
hahahahahaahahWanaume wa dar kwa kutunza watoto wasio wao mpo vzuri....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ahhHHa wanaume wa dar bureeNyie bure kabisa mpaka wachina wanawasaidia kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chenye nasema asante, ni kwasababu siishi Dar.....[emoji126][emoji126]
Mbona nimeona mdada mmoja amekutajaKwahyo mnaona sifa kukimbia majukumu yenu kama wanaume wa dar