Wanaume wa Mkoa, bila shaka mmeona mafuriko kwa Makonda

Wanaume wa Mkoa, bila shaka mmeona mafuriko kwa Makonda

KORBOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,848
Reaction score
2,446
Wanaume wa mkoa mpooooooooo????

Mna TV lakini???

mtakuwa mmepata kuona kama si kusikia mafuriko kwa RC.., hayo ndo matokeo ya zile chipsi tunazokula.

Nyie endeleeni kulima viazi huko mtuletee hapa mjini.

Shauri zenu
 
Wanaume wa dar wanashida sana,makonda wanyooshe waache ubishoo
 
Back
Top Bottom