Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

Haloooooooooooooooooooooooooooooooo........sina shaka na wewe utakuwa ni mwanaume wa nachingwea
Heheiyaaaaaaaaaaa
Haaaa[emoji2] [emoji1] [emoji1] chupi mkoni du nilikuwa sijuw ulijuwa wanaume tafauti na wa dar utahogwa unapigwa vitasa vyaa maana unapewa sh 5000
 
Dar ni mwendo wa mahandsome jamani....ukikuta mwanaume mchafu ujue kaja kusalimia ndugu zake kutoka mkoa
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri, kwakua sijajua jinsia yako but kama upo Dar nawe ni mwanamke huenda unajiuza na ulikutana na mkulima katoka shambani ukamvulia pupi akapiga mzigo wa kueleweka kisha akakuacha bila senti na kama ni mwanaume nadhani ndio waleee wenye homoni za kike muda wote wanavaa vitop na vipedo kisha wanakwenda kutatuliwa marinda na wanaume waliokandwa vizuri na nguvu sio za kusuasua. Kazi unayo[emoji4] [emoji4]
 
Huyo wa mikoani ulimpata Pugu mnada wa ng'ombe nini? Hakuna mshamba sikuhizi, ni kula na kulipa!
 
Kwa maelezo yake hajagongwa na mwanaume mmoja, haiwezekani hizo sifa zote alizo toa ziwe
za mwanaume mmoja... inaonekana hao wa mkoani wamemfaidi....
 
Nimesoma uzi wako neno kwa neno nikitafuta mahali utakapolalamikia huduma uliyopewa na mwenzetu wa mkoani, sikupaona.

Hivyo basi, nitumie fursa hii adhimu, kumshukuru na kumpongeza kwa dhati kabisa mwenzetu huyo kutuwakilisha vyema huko ugenini.

Aidha, kuhusu kile ulichokiita uchafu wa mwenzetu huyo, haukuwa uchafu bali ni vumbi la pesa za mavuno ambapo asilimia 0.0000001 ya pesa hizo ulilipwa kama asante sawa na shilingi 7M, na ndio maana katika uzi wako pia hukulalamikia suala la malipo.

Mwisho, nitoe rai kwa wanaume wenzangu wote wa mkoani, kuhakikisha wanadai risiti za kielektroniki(efd) kila wanapotoa ile asilimia 0.0000001 kwa hao viumbe wa dar.

Mwenyekiti wa wanaume wa Mkoani.
 
Sasa hivi Dar es salaam ni mkoani....kama mwanza au arusha......bt dodoma ndo penyewe bibie....ndio makao makuu yalipoooooo
 
.....hahahahaha...dar es salaam....siku hizi ni mkoa aseeee bibie.... Sema dodoma ndo makao makuu bibie...xo iyo mbunye ako ipeleke dodoma
 
wewe siyo mzima ukapumwe akili coz hiyo kugawa mbunye haituhusu hapa kwani mwanzo hukuliona hilo au ulifuata nini baada ya kukipata unajiona matawi na kugawa ushagawa??
Jiwe la gizani
 
Sasa hivi Dar es salaam ni mkoani....kama mwanza au arusha......bt dodoma ndo penyewe bibie....ndio makao makuu yalipoooooo
Unapoongea mkoani unamaanisha vijijini, Dar ni jiji/mjini hata iwe makao makuu Dodoma bado mkoani,
hauna hadhi sawa na Dar.
 
zipu inameno lakini haipigi
Mswaki...[emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] babuuuu heheeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…