Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

Mwanaume mdomo unanuka gongo,nani anataka upuuzi huo mfyuuuuuuuuuu
Heheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hallooooooooooooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Wanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh

1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo janani ndio sifuri kabisa,wanaume wa mkoa wengi mnanuka midomo sababu ya kuendekeza pombe za kienyeji
4. Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna mpamgilio mzuri wa kuvaa kama wanaume wa dar,yani mwanaume wa mkoa utamkuta nguo inavaliwa mwezi bila kufuliwa, na kwenye makufuli ndio nachoka kabisa chefuuuuu ,na ndio maana wanaume wa mkoa huwa mnapenda kusex gizani ili mfiche uchafu huo
5. Mapenzi ndio hamjui kabisa,hata kukiss hujui,kumtoa out mpenzi wako hujui,na kwa ubahili ndio msiseme looh

View attachment 416378

Wanaume wa Dar endeleeni kutufaidi watoto wazuri,vigezo mnavyo jamani
Mtoa mada huwa napata shida sana kujua jinsia yako
 
Mwanaume mdomo unanuka gongo,nani anataka upuuzi huo mfyuuuuuuuuuu
Heheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hallooooooooooooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ila si uliliwa papuchi?
 
Natabiri hakutatimia masaa 24 bila kuanzishwa uzi wa wanaume wa dar[emoji23]
 
Pole kwa kuchafuliwa papuchi, na uache kutafuta wanaume kwenye vilabu vya pombe ya kienyeji.
 
huna tofauti na yule bwana .. Mwanaume unawezaje kutengua jinsia yako na kujivika ya kike?

Hili tatizo liko kwa vijana wengi wa DSM..
 
wameshakusugua halafu unatangaza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaha....hapo utakuta umegawa papuch,harafu ngosha akagoma kutoa mawe ndo umeamua kutuamshia huku....pole ilimradi hajaondoka nayo chakufanya we ioshe usubiri mwanaume wa dar aje atemee na yeye.....ila chondechonde naye akigoma kutoa pesa usije kutwambia et Ooh mwanaume wa dar hawawez kazi wako nyoronyoro.Conclusively well done ngosha
 
Hivi kwani dar sio mkoa???
hata mm nashangaa!
Labda dar ni nchi inayojitegemea.
Hawa wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa. Hawajielewi kbsa ni wazuri kwa kugegeda tu na siyo kuoa. Yaan huyu ukimuoa ni hasara kbsa hawezi kukusaidia kimaendeleo zaid ya kukurudisha nyuma kimaendeleo. Hawezi kukushauri kitu cha maana.
Unaweza kuwa naye lkn hata siku moja hawezu kukushauri ununue hata kiwanja.
Hawa ndiyo wale ukiishiwa pesa anakukimbia.
Mm nilitegemea utamfanya jamaa awe msafi kumbe?
Enzi zile kabla ya utandawazi. Mwanamke akiliwa huwa ana kaa kimyaa. Hatangazii
lkn nyakati hizi za tigo pesa wanajitangaza kbsa
 
Mbona hata hapa dar wapo wachafu kuliko huko mikoani...

"Mapenzi Ndio Mashada Ya Tanga"
 
hahahaha....hapo utakuta umegawa papuch,harafu ngosha akagoma kutoa mawe ndo umeamua kutuamshia huku....pole ilimradi hajaondoka nayo chakufanya we ioshe usubiri mwanaume wa dar aje atemee na yeye.....ila chondechonde naye akigoma kutoa pesa usije kutwambia et Ooh mwanaume wa dar hawawez kazi wako nyoronyoro.Conclusively well done ngosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umetisha
 
Back
Top Bottom