Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada huwa napata shida sana kujua jinsia yakoWanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh
1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo janani ndio sifuri kabisa,wanaume wa mkoa wengi mnanuka midomo sababu ya kuendekeza pombe za kienyeji
4. Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna mpamgilio mzuri wa kuvaa kama wanaume wa dar,yani mwanaume wa mkoa utamkuta nguo inavaliwa mwezi bila kufuliwa, na kwenye makufuli ndio nachoka kabisa chefuuuuu ,na ndio maana wanaume wa mkoa huwa mnapenda kusex gizani ili mfiche uchafu huo
5. Mapenzi ndio hamjui kabisa,hata kukiss hujui,kumtoa out mpenzi wako hujui,na kwa ubahili ndio msiseme looh
View attachment 416378
Wanaume wa Dar endeleeni kutufaidi watoto wazuri,vigezo mnavyo jamani
Ila si uliliwa papuchi?Mwanaume mdomo unanuka gongo,nani anataka upuuzi huo mfyuuuuuuuuuu
Heheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hallooooooooooooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Nahisi dar ni nchi na sio mkoaHivi kwani dar sio mkoa???
hata mm nashangaa!Hivi kwani dar sio mkoa???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umetishahahahaha....hapo utakuta umegawa papuch,harafu ngosha akagoma kutoa mawe ndo umeamua kutuamshia huku....pole ilimradi hajaondoka nayo chakufanya we ioshe usubiri mwanaume wa dar aje atemee na yeye.....ila chondechonde naye akigoma kutoa pesa usije kutwambia et Ooh mwanaume wa dar hawawez kazi wako nyoronyoro.Conclusively well done ngosha
Hili swali lielekezwe kwa RaisiHivi kwani dar sio mkoa???