Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

hahaha unajua kwa nini umempata mchafu sababu ndio type yako yani na we ni mchafu
 
We si ulikuja na swaga "kama huna hivi mwanaume wa dar hunipati ng'o" ... Kulikoni tena unaanza kutusifia au ndio madhara ya kua mjukuu wa lipumba!?!?
 
hahahaaaaaaas
Mwanamke mwema na mwenye busara atamfanya mpenzi wake ajione mtu kati ya watu na ajivunie kuwa naye.
Kuna wanawake ni wife material na sex material. Inategemea umekutana na nani.

Mm kuna jamaa yangu alikuwa cha pombe yaan ni mlevi kupindukia lkn mwanamke aliweza kumbadilisha. Mpaka sasa jamaa hanywi pombe aina yyte. Lkn hii yote ni kazi ya mwanamke
si unajua walevi walivyo?
Wachafu. Ukimuona jamaa sasa hiv anaenda kanisani, msafi, hanywi pombe, anavaa mpaka suti
Kuna wanawake wamebarikiwa dunia hii ukimpata, unajisikia km una miliki dunia hii
Lkn wengine unajuta, mpaka unajiulaumu kwa nn umemtongoza.
Ila siwezi kumshangaa huyu mwanamke sbb wapo wanawake wa aina 2 duniani
1. Wife material
2. Sex material
 
Wanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh

1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo janani ndio sifuri kabisa,wanaume wa mkoa wengi mnanuka midomo sababu ya kuendekeza pombe za kienyeji
4. Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna mpamgilio mzuri wa kuvaa kama wanaume wa dar,yani mwanaume wa mkoa utamkuta nguo inavaliwa mwezi bila kufuliwa, na kwenye makufuli ndio nachoka kabisa chefuuuuu ,na ndio maana wanaume wa mkoa huwa mnapenda kusex gizani ili mfiche uchafu huo
5. Mapenzi ndio hamjui kabisa,hata kukiss hujui,kumtoa out mpenzi wako hujui,na kwa ubahili ndio msiseme looh

View attachment 416378

Wanaume wa Dar endeleeni kutufaidi watoto wazuri,vigezo mnavyo jamani
Endelee na bata mzinga wako wazee wa moko bila au moko chali.....Mikoani utasuguliwa sana pichu kule mwezi Dsm rasha rasha tu no pooling due chpsi yai na kuku wa wiki wa ARV's.
Mikoani ni mashine tu hakuna kuremba na chura wa mtu...chura ananyweshwa maji hadi ana kufa unadhani mchezo.
Hivyo endelea na legelege wenu......
Sema Dsm papuchi ni nyongeza tu hazinaga thamani oooohhhh....
 
Wasisemwe wa mikoani tuu hata Dar. Ila hata wanawake wananuka vikwapa kama kitunguu swaum. Deo za bei rahisi zipo kibaao. Tena roll on ya dove ni nzuri sana na ni rahisi. Unapishana na mwaume Dar jua kali kavaa tai na jacket, smart, vuta pumzi duuu. Hata wadada. Hii hali ipo kotekote. Kwingine sijui. Nguo za ndani hazivaliwi mara mbili jamani.
 
Heheeeeiyaaaaaa
Mnafiki kafungua darasa wambea nendeni mkasome babu eeeeeeeeh[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Wasisemwe wa mikoani tuu hata Dar. Ila hata wanawake wananuka vikwapa kama kitunguu swaum. Deo za bei rahisi zipo kibaao. Tena roll on ya dove ni nzuri sana na ni rahisi. Unapishana na mwaume Dar jua kali kavaa tai na jacket, smart, vuta pumzi duuu. Hata wadada. Hii hali ipo kotekote. Kwingine sijui. Nguo za ndani hazivaliwi mara mbili jamani.
Teeenaaaaaaaaaa
 
"Ndege wafananao huruka pamoja",
Huo msemo unakuhusu.
 
Heshimu kazi za watu banaaaaa .....huyo Kondakta ujamtendea haki
 
Awe ni Ngosha,Mmawia,Mnyiramba,Myao,Mbena,Mngoni,Mmakonde,Masai,Chaga,Mmatengo, au yoyote yule kutoka so called 'Mikoani' Saluti kwake kwa kujilia zigo la bure bure na kugoma kutoa mtonyo kizembe zembe..... Huo ndo 'Umkoani'... Safi sana..
 
Mwanamke nyonyo babuuuu Makalio hata wanaume mnanayo....babuu eehhhhh hapa pambe tuuuuuu heheiyaaaaaaaaaaa ukweli ndio huo babuu tenaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Ushuzi ndio Gesi original babuuuu ile ya
Mtwara ni mbwembwe tuuh!!!!!!!
 
Sema umekutana na wakuowa mchafu sio wote bwana mbona takwim zinasema dar ndoo mji mchafu maji ya shida harafu kwani dar sio mkowa acheni kukinyuwaa katika maisha sehem turivu ndoo ya kuinjoy sasa dar mji mzima milele kama uko kwenye ngoma za vidogoli
 
Back
Top Bottom