Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

Wanawake wa dar kazi kuota kununuliwa magari tu Na waume za watu.mnangoja mletewe.kila siku mnaimba mtamiliki range Rover one day.kumbe mnatimbuliwa mpaka tigo
 
Yule binamu uliesema kuwa umemtoa bikira kwenye uzi huu uliopo kwenye hii link hapa chini anaendeleaje??wewe una papuchi na dushe kwa pamoja??hivi unaona kuwa sisi wanaJF unaweza kutuburuza kirahisi??? https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1117382/
Anachanganya mara kijana toka Monduli Arusha,mara hii kwenye huu uzi keshakuwa binti aliyeliwa papuchi.Inawezekana ndie akawa binti aliyeliwa papuchi kwenye ile thread.Hawa vijana/mabinti wa Arusha shida kwelikweli
 
Usafi Wa nini wewe, tulia papuchi ipigwe brush .nje ndani.
 
Kwahiyo picha unaonekana we changu na change mpaka asome basi hata wa kutoa mia mbili amekosa. Hapo ulitegemea pesa za huku baada ya kuuza mazao wakakukopa ndo maana wasema haya. Jiweke vizuri mama soo ajabu wamekuta unanuka kama panya wakakukimbia ukaanza kuwasingizia. Wanaume wa mikoani tupo vizuri na Siku hizi hatutapeliwi.
 
Dada umevamia JF kwa spidi ya mwanga.

Tuliza kitenesi JF sio mahali pa mchezo mchezo.
 
Isikose Kati ya wanaume wa dar unatoka nao wengi ni mashoga.either wanabandua au wanabanduliwa.kuku wee
 
Tuachie waume zetu.
Mwanaume hasifiwi kuvaa,wala kujipodoa.
Ukuda,ukuda wenu pelekeni hukooo...
 
NIMEJITAHIDI KUFUATILIA THREAD ZAKO NA SASA NIMEGUNDUA KUWA WEWE NI MWANAUME WA DAR NA UNATAFUTA KIKI KWA KUFUNGUA AKAUNT YA KIKE HUMU JF, OVER.
 
Mwanaume mdomo unanuka gongo,nani anataka upuuzi huo mfyuuuuuuuuuu
Heheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hallooooooooooooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Tatizo ni lako Mkuu

Kwanini ukubali kuliwa na wanywa gongo?

Kwa uzoefu wangu wanywa gongo unakuta wamechoka sana.
Au
wewe ni wa kiwango cha chini sana mpaka unatafunwa na wanywa gongo.
 
siburee waliku walikunyapia nyapiaa kwenye daladala...wakakuchafua.nshaanza kuwanamashaka
 
Back
Top Bottom