Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Nikiwa mitaa Fulani hapa katika jiji linalotamaniwa na wengi hapa Tz.
Nikawasikia kinadada wakipiga story.

Dada wa kwanza;
Hii mvua jamani haitupi nafasi hata ya kupumua.!

Dada wa pili;
Shoga iache tu inyeshe, inaleta mishahara kutoka mikoani hiyo.!!

Dada wa kwanza;
Kwanini shosti?

Dada wa pili;
Shosti na we unakuwa kama shamba, hiyo inaleta pesa za mavuno kutoka mkoani.
Hao washamba wakishauza mazao yao huko wanajileta wenyewe.!

Dada wa kwanza;
Heheee, umeona eee!! Unamfungia ndani kumlea babu wee.!! Simbakizii hata nauli ya kwendea kwa bibikizee lake huko lisojua kuhendo.!

Dada wa pili;
Heheee, tena mletee na zawadi ya boxer, hapo ndo umemaliza kabisa hata iliyobaki m-pesa atakurushia.!!

Sasa hapo ndio nikapata kuelewa kumbe hiki ndo wanachofanyiwa wanaume wa mkoani wajapo hapa jinini.

Punguzeni ushamba hii ni Dsm, mtaua watoto wenu bure kwa njaa huko kwenu kwasababu ya ushamba wenu.
Kumbe hata boxer tu ni kivutio kikubwa sana kwenu.!!

Wadada wa Dar wakamueni pesa tu hamna namna.
 
Wametoka kidogo kwenda Koogwe kuwasaidia wenzao wamekumbwa na mafuriko. Wakirudi huko utawaona
 
Chemsha maji, kaoge ulale. Cc; GENTAMYCINE. Napata sana shida kujua tofauti ya mwanamke na mwanaume wa Dar.
 
siku akiaga anaondoka. analowekewa na nguo kabisa. asubuhi akiamka.
Mupenzi naomba Nguo nivae. niondoke kwa bi . mkubwa, anajibiwa
babyy nimeziloweka nataka kukufulia. na mvua hii sijui zitakauka lini.
anabaki anamalizia nauli.
wanaume wa mikoani bwana
 
hebu waambie hao,yani mtu atoke chugga kufuata hayo makopo uko dar,labda awe mgojwa wa akili.
Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.
 
Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.
Kuishi dar mzigo wa mw
 
Sasa wa dar mna nini wakati huku chugga watoto wa huku wazuri sana kuliko hao used wenu waliokimbilia zaidi ya miles 50.
Kibaya zaidi sisi tukija huko mikoani tunagegeda bure bila kutoa hata senti.
Akisikia tu umetoka dar wanakupapatikia wenyewe wengine wanang'ang'nia uwatoroshe uje nao dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…