mchome jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 599
- 748
waache kunuka vikwapa hao wanaoshinda kwenye joto,maji shida hata kuoga wanaoga kwa machale waje wanuke watoto wa chugga,sisi tukija dar tunakuja kupga pesa tu na kutumia fursa ambazo ninyi wapaka powder zimewashinda sio kufuata hizo takataka.Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.