Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mwanaume wa Dar tangu lini ukamkuta anabeba zege, analima, anabeba mizigo mizito au anawaza jinsi ya kutoka kimaisha?? Nyie ni kushinda insta, kuwa wadananda, kukaa vijiweni, kushinda kwenye vioo,kushinda gym n.kKazi ngumu? Kama zipi hasa tusizo ziweza?
Sasa simkae na hayo mazao yenu huko maone kama hayakuwaozea huko.
Yaani mnakuja kwetu kutafuta masoko halafu mnajifanya wajanja au huna hata elimu ya biashara hujui kama watu tunategemeana??
Kutegemeana kupo ndio ila bila sisi mnaotuita wa mikoani kuna maisha kweli?? Simple tu jiulize kati ya Dar na mikoa mingine ni wapi panapategemea penzake?? Msijisifie tu soko kubwa lipo huko bila sisi wa mikoani mtasanda lazima.....Viwanda karibia vyote huko Dar vinategemea malighafi zitokazo mikoa mingine
Watu wa pwani acheni uvivu pigeni kazi