Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Kazi ngumu? Kama zipi hasa tusizo ziweza?
Sasa simkae na hayo mazao yenu huko maone kama hayakuwaozea huko.
Yaani mnakuja kwetu kutafuta masoko halafu mnajifanya wajanja au huna hata elimu ya biashara hujui kama watu tunategemeana??
Mwanaume wa Dar tangu lini ukamkuta anabeba zege, analima, anabeba mizigo mizito au anawaza jinsi ya kutoka kimaisha?? Nyie ni kushinda insta, kuwa wadananda, kukaa vijiweni, kushinda kwenye vioo,kushinda gym n.k

Kutegemeana kupo ndio ila bila sisi mnaotuita wa mikoani kuna maisha kweli?? Simple tu jiulize kati ya Dar na mikoa mingine ni wapi panapategemea penzake?? Msijisifie tu soko kubwa lipo huko bila sisi wa mikoani mtasanda lazima.....Viwanda karibia vyote huko Dar vinategemea malighafi zitokazo mikoa mingine

Watu wa pwani acheni uvivu pigeni kazi
 
38c3a5269e873357a2441e9a5ffc9e8d.jpg
Mi cjui km ningeweza kupiga hii picha kwa vicheko
 
Mwanaume wa Dar tangu lini ukamkuta anabeba zege, analima, anabeba mizigo mizito au anawaza jinsi ya kutoka kimaisha?? Nyie ni kushinda insta, kuwa wadananda, kukaa vijiweni, kushinda kwenye vioo,kushinda gym n.k

Kutegemeana kupo ndio ila bila sisi mnaotuita wa mikoani kuna maisha kweli?? Simple tu jiulize kati ya Dar na mikoa mingine ni wapi panapategemea penzake?? Msijisifie tu soko kubwa lipo huko bila sisi wa mikoani mtasanda lazima.....Viwanda karibia vyote huko Dar vinategemea malighafi zitokazo mikoa mingine

Watu wa pwani acheni uvivu pigeni kazi
Sasa hizo kazi unazozisema hapo kuwa sisi hatuziwezi inamaana haya majengo tunayo jenga huku kila siku ni nyinyi ndo mnatujengea au??
Uvivu upi unao usema, kati ya hapa dar na huko kwenu wapi kuna maendeleo Zaidi??

Unasema bila ya nyinyi sisi tutasanda, sasa bila ya sisi je uliwahi kufikiria ni hasara kiasi gani utapata_?? Kuhusu suala la biashara asiwepo wa kujisifu kati yetu kwasababu uwepo wa mmoja unategemea uwepo wa mwingine kama mvua na jua vile.
 
Hivi nyie kawadanganya nani kubugia bugia ovyo ndo uanaume??
kubugia hovyo? nyie ndo mnakula hovyo hovyo!! hapo mwendo ni mkono na misosi ni natural...sio kama nyie wanaume wa dar mnakula chipsi mayai(tena mayai yanayotagwa bila kuku kugongana) na kuku wanaokua kwa miezi 3,tena mnakula kwa stick au "umma"...acheni hizo nyie,watawakimbia mademu zenu
 
Wanaume wa Dar bwabwa Sana... Umekaa na hao wadada kusilkiliza maneno ya akina dada, ukaona uyabebe uyalete humu ...hujisikii vibaya hata kidogo! Umewazidi hao akina Dada.... Aibu sana hii.
Akili yako inabeba maneno ya akina Dada, yakakupa nguvu kabisa ya kuja hapa kusema eti, "nimesikia wanawake.... "...Dar hapana mwanaume.
Acha wanaume wafanye kazi wamletee mama yako, na wewe ule... Hayo ndo majukumu ya mwanaume,.sasa ulitaka ulelewe wewe?
 
maeneo yao huwa tandale buguruni na sokoni kariakoo baada ya hapo wanarudi na ukimwi huko kwao
Kumbe mnagawa ukimwi...hahahaaa.... Wanaume wa hawana tofauti na wake zao.. Wana maneno yanayofanana
 
Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.
Hivi ni mwanume wewe kweli!?
 
Wanaume wa Dar bwabwa Sana... Umekaa na hao wadada kusilkiliza maneno ya akina dada, ukaona uyabebe uyalete humu ...hujisikii vibaya hata kidogo! Umewazidi hao akina Dada.... Aibu sana hii.
Akili yako inabeba maneno ya akina Dada, yakakupa nguvu kabisa ya kuja hapa kusema eti, "nimesikia wanawake.... "...Dar hapana mwanaume.
Acha wanaume wafanye kazi wamletee mama yako, na wewe ule... Hayo ndo majukumu ya mwanaume,.sasa ulitaka ulelewe wewe?
Povu
 
kubugia hovyo? nyie ndo mnakula hovyo hovyo!! hapo mwendo ni mkono na misosi ni natural...sio kama nyie wanaume wa dar mnakula chipsi mayai(tena mayai yanayotagwa bila kuku kugongana) na kuku wanaokua kwa miezi 3,tena mnakula kwa stick au "umma"...acheni hizo nyie,watawakimbia mademu zenu
We unashangaza kweli madam zenu ndo kila uchao wanatoroka huko kwenu kuja dar au unajifanya hujui?
 
Wanaume wa Dar bwabwa Sana... Umekaa na hao wadada kusilkiliza maneno ya akina dada, ukaona uyabebe uyalete humu ...hujisikii vibaya hata kidogo! Umewazidi hao akina Dada.... Aibu sana hii.
Akili yako inabeba maneno ya akina Dada, yakakupa nguvu kabisa ya kuja hapa kusema eti, "nimesikia wanawake.... "...Dar hapana mwanaume.
Acha wanaume wafanye kazi wamletee mama yako, na wewe ule... Hayo ndo majukumu ya mwanaume,.sasa ulitaka ulelewe wewe?
si kwa povu hili
Kumbe mnagawa ukimwi...hahahaaa.... Wanaume wa hawana tofauti na wake zao.. Wana maneno yanayofanana
 
kitu nimekiona wanaume wa daa wanaweza uku mikoani ni kupaka wanawake rangi kucha kingine ni kutoa huduma sawasawa na wadada(t*go) cjaona kingine
 
Sasa hizo kazi unazozisema hapo kuwa sisi hatuziwezi inamaana haya majengo tunayo jenga huku kila siku ni nyinyi ndo mnatujengea au??
Uvivu upi unao usema, kati ya hapa dar na huko kwenu wapi kuna maendeleo Zaidi??

Unasema bila ya nyinyi sisi tutasanda, sasa bila ya sisi je uliwahi kufikiria ni hasara kiasi gani utapata_?? Kuhusu suala la biashara asiwepo wa kujisifu kati yetu kwasababu uwepo wa mmoja unategemea uwepo wa mwingine kama mvua na jua vile.
Hahaha mwanaume wa Dar sikuwezi kwa Ligi Ndogo!! Cha msingi piga kazi
 
Duuu yaani ukiwasikiliza story za wanaume wa dar muda wote wanawaza kwenda gym tu kisa eti kutafuta single mothers ili walelewe kwanza dar kila mtaa ukipita lazima ukute kibao kimeandikwa DAWA YA NGUVU ZA KIUME sijui hata wanazitumia kwa kazi gani, nasikia kuna wanaume wanaitwa marioo ni tabu tupu.
 
Kama mnaona DAR ndo tanzania, Jueni ARUSHA ni AFRIKA YA MASHARIKI.

#Akili_kichwani.
 
waache kunuka vikwapa hao wanaoshinda kwenye joto,maji shida hata kuoga wanaoga kwa machale waje wanuke watoto wa chugga,sisi tukija dar tunakuja kupga pesa tu na kutumia fursa ambazo ninyi wapaka powder zimewashinda sio kufuata hizo takataka.
Mpe mpe huyo mwongezee
 
Nikiwa mitaa Fulani hapa katika jiji linalotamaniwa na wengi hapa Tz.
Nikawasikia kinadada wakipiga story.

Dada wa kwanza;
Hii mvua jamani haitupi nafasi hata ya kupumua.!

Dada wa pili;
Shoga iache tu inyeshe, inaleta mishahara kutoka mikoani hiyo.!!

Dada wa kwanza;
Kwanini shosti?

Dada wa pili;
Shosti na we unakuwa kama shamba, hiyo inaleta pesa za mavuno kutoka mkoani.
Hao washamba wakishauza mazao yao huko wanajileta wenyewe.!

Dada wa kwanza;
Heheee, umeona eee!! Unamfungia ndani kumlea babu wee.!! Simbakizii hata nauli ya kwendea kwa bibikizee lake huko lisojua kuhendo.!

Dada wa pili;
Heheee, tena mletee na zawadi ya boxer, hapo ndo umemaliza kabisa hata iliyobaki m-pesa atakurushia.!!

Sasa hapo ndio nikapata kuelewa kumbe hiki ndo wanachofanyiwa wanaume wa mkoani wajapo hapa jinini.

Punguzeni ushamba hii ni Dsm, mtaua watoto wenu bure kwa njaa huko kwenu kwasababu ya ushamba wenu.
Kumbe hata boxer tu ni kivutio kikubwa sana kwenu.!!

Wadada wa Dar wakamueni pesa tu hamna namna.
Wa mikoani hawapendi mashoga, unawaponda kwasababu ya wivu tu hawakuchukui
 
Back
Top Bottom