Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Tufanyekazi gani wakati nyie punda wetu mpo huko vichakani?sisi tunawapa hela mnaleta dharau siku tukigoma kununua hayo mazao yenu si mtaishi kama digidigi nyie,halafu tulivyo wajanja hela tunawapa then mnazirudisha hapahapa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwanaume wa Dar tangu lini ukamkuta anabeba zege, analima, anabeba mizigo mizito au anawaza jinsi ya kutoka kimaisha?? Nyie ni kushinda insta, kuwa wadananda, kukaa vijiweni, kushinda kwenye vioo,kushinda gym n.k
Kutegemeana kupo ndio ila bila sisi mnaotuita wa mikoani kuna maisha kweli?? Simple tu jiulize kati ya Dar na mikoa mingine ni wapi panapategemea penzake?? Msijisifie tu soko kubwa lipo huko bila sisi wa mikoani mtasanda lazima.....Viwanda karibia vyote huko Dar vinategemea malighafi zitokazo mikoa mingine
Watu wa pwani acheni uvivu pigeni kazi
Unawezaje kuifananisha arusha na dar we ni ki.azi kweli dar hii hii au dar ya Somalia?arusha bado sana labda kidogo mwanza inakua kwa kasi sana,yaani ukiwa angani arusha ilivyo utadhani moshi tuKama mnaona DAR ndo tanzania, Jueni ARUSHA ni AFRIKA YA MASHARIKI.
#Akili_kichwani.
nazungumza na Mwanaume wa Dar sio mwanamke wa Dar..umenisikia we dada nasmaTufanyekazi gani wakati nyie punda wetu mpo huko vichakani?sisi tunawapa hela mnaleta dharau siku tukigoma kununua hayo mazao yenu si mtaishi kama digidigi nyie,halafu tulivyo wajanja hela tunawapa then mnazirudisha hapahapa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mi nikiwa dada we utakua nani?bibi au!!acheni ushamba na muwe mnapiga miswakinazungumza na Mwanaume wa Dar sio mwanamke wa Dar..umenisikia we dada nasma
Hahahaaa!Huyu anabembea mlangoni?
KhaaaTufanyekazi gani wakati nyie punda wetu mpo huko vichakani?sisi tunawapa hela mnaleta dharau siku tukigoma kununua hayo mazao yenu si mtaishi kama digidigi nyie,halafu tulivyo wajanja hela tunawapa then mnazirudisha hapahapa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dam55 weweee. Hivi dar imekupa nini sio kwa kuipa sifa hivyoo.Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.
Chachandu ya nini muraa??huoni Kuna kichuri hapo??Ngoja nikuletee chachandu.
Naona hakuna hata kindumu hapo
Sasa mura chachandu ya nini sisi unashikiria pilipili mkono wa kushoto afu unakua unatafunia taratibu afu ndimu ni marufuku kutumia hizo wanatumia wanaume wa dar pekeeNgoja nikuletee chachandu.
Naona hakuna hata kindumu hapo
Sasa mbona una jina la kike....mi nadhani hata nj mwanaume mwenzangu...Aisee... Haya wanaume wa mikoani ushamba tutauachaMi nikiwa dada we utakua nani?bibi au!!acheni ushamba na muwe mnapiga miswaki
Aje Bukoba aone vitu, sio hao wanao-ota vitambi kwa chips kavuwaache kunuka vikwapa hao wanaoshinda kwenye joto,maji shida hata kuoga wanaoga kwa machale waje wanuke watoto wa chugga,sisi tukija dar tunakuja kupga pesa tu na kutumia fursa ambazo ninyi wapaka powder zimewashinda sio kufuata hizo takataka.
Madem wa DSM njaa kali, unaweza kugegeda sister do hata kwa 5,000=af dar masela weng mash*ga unakuta msela kajipodoa kinoma .
af amna madem ize kam wa dar yan ukimkonyeza 2 baadae anakuja geto mwenyewe.
Asa mwanaume gani anakilo 45?! Kama sio ush-ga wa kula chips kavuHivi nyie kawadanganya nani kubugia bugia ovyo ndo uanaume??
UmeonaeeeMnapendana kusemana sn wanaume wa dar na wa mikoani
Wa Bukoba wameji-import wako huku Dar vichochoroni wala haina haja kuja huko tsh.2500-3000 mpaka chuma mboga na katarelo unapata mkuu.Aje Bukoba aone vitu, sio hao wanao-ota vitambi kwa chips kavu
Hao ni wa Bukoba, Arusha na Kilimanjaro wamekuja mjini kutafuta...wengi ni Mabarmaid na wengine wapo vichochoroniMadem wa DSM njaa kali, unaweza kugegeda sister do hata kwa 5,000=