Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Mwanaume wa Dar tangu lini ukamkuta anabeba zege, analima, anabeba mizigo mizito au anawaza jinsi ya kutoka kimaisha?? Nyie ni kushinda insta, kuwa wadananda, kukaa vijiweni, kushinda kwenye vioo,kushinda gym n.k

Kutegemeana kupo ndio ila bila sisi mnaotuita wa mikoani kuna maisha kweli?? Simple tu jiulize kati ya Dar na mikoa mingine ni wapi panapategemea penzake?? Msijisifie tu soko kubwa lipo huko bila sisi wa mikoani mtasanda lazima.....Viwanda karibia vyote huko Dar vinategemea malighafi zitokazo mikoa mingine

Watu wa pwani acheni uvivu pigeni kazi
Tufanyekazi gani wakati nyie punda wetu mpo huko vichakani?sisi tunawapa hela mnaleta dharau siku tukigoma kununua hayo mazao yenu si mtaishi kama digidigi nyie,halafu tulivyo wajanja hela tunawapa then mnazirudisha hapahapa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
nazungumza na Mwanaume wa Dar sio mwanamke wa Dar..umenisikia we dada nasma
 
tapatalk_1494439467431.jpeg
. Ndo wewe hapaaa unawasikiliza hao wadada etiiii?

Ukitoka hapo kakojoe ulale
 
Huwa nashindwa kushangaa ila najilazimisha nizowee kushangaa kwa nini inakuwa hivi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tufanyekazi gani wakati nyie punda wetu mpo huko vichakani?sisi tunawapa hela mnaleta dharau siku tukigoma kununua hayo mazao yenu si mtaishi kama digidigi nyie,halafu tulivyo wajanja hela tunawapa then mnazirudisha hapahapa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Khaaa
 
Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.
Dam55 weweee. Hivi dar imekupa nini sio kwa kuipa sifa hivyoo.
 
Ngoja nikuletee chachandu.

Naona hakuna hata kindumu hapo
Sasa mura chachandu ya nini sisi unashikiria pilipili mkono wa kushoto afu unakua unatafunia taratibu afu ndimu ni marufuku kutumia hizo wanatumia wanaume wa dar pekee
 
Mi nikiwa dada we utakua nani?bibi au!!acheni ushamba na muwe mnapiga miswaki
Sasa mbona una jina la kike....mi nadhani hata nj mwanaume mwenzangu...Aisee... Haya wanaume wa mikoani ushamba tutauacha
 
waache kunuka vikwapa hao wanaoshinda kwenye joto,maji shida hata kuoga wanaoga kwa machale waje wanuke watoto wa chugga,sisi tukija dar tunakuja kupga pesa tu na kutumia fursa ambazo ninyi wapaka powder zimewashinda sio kufuata hizo takataka.
Aje Bukoba aone vitu, sio hao wanao-ota vitambi kwa chips kavu
 
Aje Bukoba aone vitu, sio hao wanao-ota vitambi kwa chips kavu
Wa Bukoba wameji-import wako huku Dar vichochoroni wala haina haja kuja huko tsh.2500-3000 mpaka chuma mboga na katarelo unapata mkuu.
[emoji23] [emoji23]

Madem wa DSM njaa kali, unaweza kugegeda sister do hata kwa 5,000=
Hao ni wa Bukoba, Arusha na Kilimanjaro wamekuja mjini kutafuta...wengi ni Mabarmaid na wengine wapo vichochoroni

Yaani wajanja wa mjini hawalipi hela nyingi kama nyie wa mikoani.
 
Mwanaume lijali lazima uhonge, sio nyie wa DSM mnapaka poda tu, na mnataka madem wawahonge, ndo mana mnagong-wa, mtaishia kuimba nyimbo za kulalamika tu umeachwa
 
Back
Top Bottom