Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Alafu asilimia 90 mnatoka sitimbi na wengine mnatoka litisha, wenyewe mnajiita wanaume wa Dar, mtakimbia mpaka sisimizi road
 
Labda uende uwanja wa fisi ndo unaweza kupata hata bure
 
Kibaya zaidi sisi tukija huko mikoani tunagegeda bure bila kutoa hata senti.
Akisikia tu umetoka dar wanakupapatikia wenyewe wengine wanang'ang'nia uwatoroshe uje nao dar.
Sio kwa Chuga.....Madem had washkaj niwaelewa sana hawananga hizo mamboo....Sema madem waDsm ndo wanashoboka na midume ya Chuga
 

Mwanaume wa Dar ktk ubora wako [emoji28]
 
 
Wanaume wa dar hamna lolote mbn huku mikoan mnakua ma buxhoke tu mkija
 
Mikoani ndo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…