Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

Heti makopo!!!? Makopo wa dar au wa huko kwenu.
Wanawake wenu wananuka vikwapa huko,
Sasa kama mwanamke kutwa nzima anashinda na ka kanga kamechakaa na vumbi na ndo hicho hicho katoka nacho sha sa what next hapo kama c kunuka uvundo tu.
waache kunuka vikwapa hao wanaoshinda kwenye joto,maji shida hata kuoga wanaoga kwa machale waje wanuke watoto wa chugga,sisi tukija dar tunakuja kupga pesa tu na kutumia fursa ambazo ninyi wapaka powder zimewashinda sio kufuata hizo takataka.
 
Sio kupiga pesa sema kupigwa pesa.
 
Ngoja nimalize kupata mlo nakuja!!!
2c8be3382081f1ba330bb294302377ea.jpg

Kichuli kileee
 
Arusha kuna mademu wabishi na wababe kama makonda wa daladala afu mijino imeshika kutu akicheka utadhani shumileta..!
hao hao ndo tunawaelewa watam sana aise mkipiga rough anatupa mguu mmoja Morombo mwingine usa
 
iv kuna masela wagumu kama wa chuga mazee labda aotee raru wakisukuma chuga mrax anapigwa mande ad anasepa mwenyew
 
af dar masela weng mash*ga unakuta msela kajipodoa kinoma .
af amna madem ize kam wa dar yan ukimkonyeza 2 baadae anakuja geto mwenyewe.
 
hao hao ndo tunawaelewa watam sana aise mkipiga rough anatupa mguu mmoja Morombo mwingine usa
Ndo mapenzi gani hayo sasa? Li unakuwa na demu utafikiri dume mwenzio, la nini sasa Mimi?
 
Wanaume wa Dar kumbe ndio mko hivyo...udaku udaku tu, kazi ngumu hata hamuwezi mnategemea kulishwa na mazao ya sisi Wanaume mnaotuita wa mikoani!!

Siku tukiacha kuleta hayo mazao huko Dar mtalimia meno *****!!!
 
La Haula....!!![emoji15] [emoji15] [emoji86]

Hii thread imeandikwa na Mwanaume au Mwanamke?

Mbona imekaa kimipasho hivi?

Hata kama ni mwanamke kwa umbea wa kuwasikiliza wanawake wenzie namuinulia mikono juu.
 
Wanaume wa Dar kumbe ndio mko hivyo...udaku udaku tu, kazi ngumu hata hamuwezi mnategemea kulishwa na mazao ya sisi Wanaume mnaotuita wa mikoani!!

Siku tukiacha kuleta hayo mazao huko Dar mtalimia meno *****!!!
Mi mwenyewe nimeshangaa sana hii mpiasho.

Daah...!
 
Cc: GENTAMYCINE

Njoo msikie huyo toto laini wa dar keshaanza kushindana mipasho na dada zake.
 
Wanaume wa Dar kumbe ndio mko hivyo...udaku udaku tu, kazi ngumu hata hamuwezi mnategemea kulishwa na mazao ya sisi Wanaume mnaotuita wa mikoani!!

Siku tukiacha kuleta hayo mazao huko Dar mtalimia meno *****!!!

Kazi ngumu? Kama zipi hasa tusizo ziweza?
Sasa simkae na hayo mazao yenu huko maone kama hayakuwaozea huko.
Yaani mnakuja kwetu kutafuta masoko halafu mnajifanya wajanja au huna hata elimu ya biashara hujui kama watu tunategemeana??
 
Back
Top Bottom