Wanaume wa nigeria wanavitu special

Wanaume wa nigeria wanavitu special

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda

Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki wanaunganisha?
 
Dont you disrespect wanaume wa tz, just because you had bad experience usifananishe wengine
 
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda

Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki wanaunganisha?
Kuwa makini na hao jamaa,Ni matapeli balaa.

Unaweza kutapeliwa hadi mbususu yako ukabaki unashangaa huku huamini kilichotokea.
 
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda

Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki wanaunganisha?
Ushawahi kunipa nikashindwa kuunganisha?
 
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda

Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki wanaunganisha?
Kama umempata mtuwako anakutafuna c utafunwe kimya kimya mkuu au mpaka nikamweleze yule bwana wako mchovu mchovu shabiki wa simba
 
Wanaume wa kitanzania ni Bora kuliko hao,
Waliokaa nje wanaelewa date na mnaijeria kama utaolewa na SI kutumika, utaishia kutumika, wanaume wakitanzania mna AWARD yenu figo76 Leo ni VAvavava yooooh [emoji2788]
Tanzanian men mna nafasi yenu ukitoa mapungufu mengine
For sure, sisi wanaume wenye asili ya ktz ni BORA sana.
 
Back
Top Bottom