Wanaume wa nigeria wanavitu special

Wanaume wa nigeria wanavitu special

Mnigeria
FB_IMG_1675375753319.jpg
 
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda

Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki wanaunganisha?
Hao jamaa kwao madem wachache na ni gharama so wakija tz wawakute nyie maharage ya Mbeya ndo wanajifanya wanacare. Maana kwao madem ni gombania goli
 
Jaman mbona ivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Uunganishiwe na mtz tatu una helaaa? WaTZ tunataka hela hatutaki kuunganisha goli 4 kwa kajamba nani ujue[emoji28][emoji28]

Zari the boss lady anaunganishiwa sana tu [emoji23][emoji23] tanasha naye sana tu[emoji23][emoji23] nandy naye sana tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Hela! Hela! Hela!
 
😂😂😂 hela
 
Ngoja wamkope wakijidai wanaenda kutafuta chenji ya elfu ishirini halafu arudi hapa anajilizaliza.
Huyo hawajui wapopo. My ajipe kazi ya kuunganisha mabao mawili alafu iwe bure tu? Wanaigeria kila kitu kwao Ni fursa.

Ngoja apigwe tukio la mbususu yake.
 
Watanzania ni vibamia ndio maana hawajiamini wanafoka muda wote na kunyanyasa wanawake.
 
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda

Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki wanaunganisha?
Yaani kumbe Rivers United pesa zao walihonga dada zetu wa mjini halafu wakasingizia Wana Jangwani wamewaibia kwenye bus lao.
Huu uzi wauone shirikisho la soka Africa ili kuwa rahisishia uchunguzi wao kwenye Kesi "Fake" iliyofunguliwa na hao wakina Aki na Ukwa
 
Back
Top Bottom