Aaah sawaa ngoja niipitie tenaHapana soma uilewe!!
Huwezi kumuumbua mwanaume.Mtaumbuka sasa[emoji23] [emoji2] [emoji2]
MTU akiniomba vocha anakula block ya nguvuWasap wanaomba vocha na salio kidogo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Hahaa mmeamua kunivunja mbavu leo aisee.
Baada ya muda wa kulipa kufika,.[emoji3]Kuanzia linii[emoji2] [emoji2]
Nawakumbuka kuna vikao viwili vilivyopita, kikao kimoja kilichukua karibia siku 4.
OhooooooooMamaaaaaeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaaaaa unaweza ukajua umepata G wako kama Mama Sabrina kumbe G unafanywa wewe
Ebu fungua whatsapp[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tukawa rewarded na ban juu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohoooooooo
Sio utaratibu wangu kujibu watu vibaya nilimjibuje?Ndiwooooo yaani nilikuwa sipendi zile avatar zako nilitakaga kukwambia sema kuna siku ulimjibu vibaya mtu alikwambia urudishe avatar hii
Aliibiwa simu.Hahahahaa,.. Jamaniii,.asikuumize kichwa sana ilimradi tabia yake imejulikana...haisumbui tena..
[emoji23] [emoji23] pole hvyo ndivyo tunavyofeel pesa zetu zikienda bure kwa dem ila tunakua tunakomaa tu. Tunasema tushatumia ngapi.Eehh!pesa ya mwanamke inauma haswaa!!
Bwana pepsiiiii wooiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja atakutana naoo