Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Ndiwooooo yaani nilikuwa sipendi zile avatar zako nilitakaga kukwambia sema kuna siku ulimjibu vibaya mtu alikwambia urudishe avatar hii
Sio utaratibu wangu kujibu watu vibaya nilimjibuje?

halafu zile kuna mama yako mdogo alikuwa ananichagulia...
 
Hahahahaa,.. Jamaniii,.asikuumize kichwa sana ilimradi tabia yake imejulikana...haisumbui tena..
Aliibiwa simu.

Mdeni wangu siku ya kuniletea hela akapotea hewani. Akaja kunitafuta kesho yake saa tatu akaniambia wakati analeta hela akaibiwa simu hivyo akaripoti ikaonekana simu iko mitaa ya Mikocheni akawa amechanganyikiwa akasahau kama alitakiwa aniletee hela yangu na hapo anatumia laptop kuingia whatsapp.
 
Back
Top Bottom