Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

kwan madem hawabet boy???

Wachache saaaaaana.. wanatumia sana ujuzi katikati ya miguu..hadi kufikia kuwaza kubeti ni baadae sana..

labda watapeliwe Q-net na kwingine coz wanapigwa sound kirahisi sana
 
Sio utaratibu wangu kujibu watu vibaya nilimjibuje?

halafu zile kuna mama yako mdogo alikuwa ananichagulia...
Bwana mwambie hatuzitakiii tunaitaka hii nakumbuka ulimjibu hata uliyoweka utaipenda sijui
 
Nini kukopa pesa bana....watu tunakopa hadi magari kwa ajili ya totoz za JF! Teh teh teh.

On a serious note, kukopa hela kwa watu si tabia nzuri.

Ni bora mara 100 kwenda kukopa hela benki au hata kwenye loan sharks kuliko kukopa kwa watu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sasa shida hazikauki..samahani sana kaka sina kipaji cha kuhonga mwanaume...
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…