Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Hapo kwa wazee hapoooo ina mana kwa wazee ndo mnapambana hapo au sema wazee wanapenda kuhonga mana hela zipo tu pension ila mjue ni dhambi kula pensio ya mzee wa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sio dhambi,hawana utoto utoto kama wa badhi ya vijana!

Halafu simli tunakulana
 
Kudanga, danga , mdangaji duh!! haya maneno yananipa shida sana ebu mwenye uelewa mzuri anipe tafadhali
 
Maana harisi ya mtu anayeongwa ni malaya wa nyumbani au malaya mnefahamianai ,
 
Kila mtu anapambana na hali yake sasa wewe kinakuuma nin hapo mkuu?
 
Back
Top Bottom