Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Wanaume mnachambwa huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sio dhambi,hawana utoto utoto kama wa badhi ya vijana!Hapo kwa wazee hapoooo ina mana kwa wazee ndo mnapambana hapo au sema wazee wanapenda kuhonga mana hela zipo tu pension ila mjue ni dhambi kula pensio ya mzee wa watu
Mi mwenyewe natafuta mtu anipe laki 3 hapa..
Wala sina mpango wa kununua simu. Atatokea tu msamaria mwema atanipa. Sina laki 5 saa hizi mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ununue simu
Ohhhooooo....[emoji45] [emoji45]Sijui!
Huyu unae mpea hizi maneno "kama zote" yupo humu....[emoji45] [emoji53] [emoji53]
Naomba unikopeshe 1000 mkuu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ni wewe
Lipa unayodaiwa kwanzaNaomba unikopeshe 1000 mkuu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nikweli mkuu, maana ile siku asubuhi sikua na pesa ya kumlipa baada kazi ya usiku ule...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Lipa unayodaiwa kwanza