Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Njoo nikuhonge..Vijana waache kudanga na kutapeli watu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikuhonge..Vijana waache kudanga na kutapeli watu!!
Mi namwona ni mwanamke mdangaji aliekutana na wanaume wadangaji!!Na wasiwasi mtoa maada sio demu Ni mwanaume kabisa .sijui nyie wenzangu mnaonaje?
Umeona eeehh!unajipindaa from nowhere anakutapeli kirahisi rahisi...mtu ukiaminiwa jiaminishe baasii!!unakubali kutoka utu kwa vitu vidogo kabisa...hawana huruma jamani matapeli kaah!halafu ukiwaona huwajui bora teja utamjua!![emoji3][emoji16][emoji16]Yaani hapo kwenye kuhanagaika ndio penyewe...Jamaniii akina Dada tunaamka lukwilii kwenda kupambana na hali zetu tunauza hadi ming'okoo na panya ili tupate rizki...halafu mwanaume unaejiita rijali unapanga kupiga vizinga aseee wanaume dizaini hii mnahitaji rehema mnoo...acheni umarioo fanyeni kazi...utatapeli wangapii??utabadili laini ngapii??utahama location ngapi??mfyuuuu
Siku hizi hakuna rizki kitako,lazima uamke uliache shuka ukapambane,.wanaume wenye tabia hii muache mtakuja pigwa risasi za kichwa kama sio za.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
Hamonaizi huyu mwanamuziki.Mwenyekiti wao ni hamonaizi teh! teh! teh!
Hujakutana na wanaume bali wahuniHasa vijana wa Dar. Hawapendi kazi ila kujikweza sasaaa. Kumbe hela za bata wanakopa wanawake wakawape bata wanawake wengine. Wengine hata line hawahami mama wanakomaa na wewe kama vile hawaoni unavyodai.
Sema kukopa kuna mmoja achkia ko humu anakopa na harudishi
Hapana nmesoma tena umesema wanaume wote ..Soma vzr nimesema sio wote baadhi ya wanaume [emoji3][emoji16][emoji23][emoji3]!!
Si bora hata angekopa akanywe bia tu kuliko kubet. Sasa baada ya kubet akishaliwa ndo anapotea mazima. Watu wangejua tunapata hela kwa shida na sisi wangekua hawakopi halafu wanaturusha. Ila jasho la mtu haliendi bure mama. Mjanja yeye ila Mungu yupoWengine wanakopa wakabeti...lol hivi watu tunahaha kutafuta hela za mitaji wao wanakopa za kubetia...mayo zaoo...
Kweli wahuni pumbavu zao.Hujakutana na wanaume bali wahuni
Hapo ndo wanapokosea. Wakiaminiwa wajali basi heshima walopewa.Umeona eeehh!unajipindaa from nowhere anakutapeli kirahisi rahisi...mtu ukiaminiwa jiaminishe baasii!!unakubali kutoka utu kwa vitu vidogo kabisa...hawana huruma jamani matapeli kaah!halafu ukiwaona huwajui bora teja utamjua!![emoji3][emoji16][emoji16]
he!he!he!!!!Utakuta mwanaume mzima anaimba "Ninogeshe" then kichwani kuko empty, shuga mamy wako njiani
Hili nalo neno vijana wa dar hapa wanapenda kukopa na kutapeli wadada wanashindwa kuuza hata bamia...anakopa akale bata au anakopa akalipe anakodaiwa...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo wa humu huyo Mungu anamuona tafadhali apite hapa ujumbe auone na alipe madeni ya watu!!Hasa vijana wa Dar. Hawapendi kazi ila kujikweza sasaaa. Kumbe hela za bata wanakopa wanawake wakawape bata wanawake wengine. Wengine hata line hawahami mama wanakomaa na wewe kama vile hawaoni unavyodai.
Sema kukopa kuna mmoja achkia ko humu anakopa na harudishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaaa,..nimeona kumbe laki nayo ni pesa...utawasikia ooh nisaidie kiduka changu kimepitiwa na TRA kimefungwa,.masikini kwa kumuonea huruma asije kufa na njaa akakosa bando ya kuchangia jf unamuazima..kumbeee ni marioo mjini...Umeandika kwa hisia. Ila tujifunze pia. Mwanaume hajawahi kukupa hela yake unamkopeshaje? Mimi nakusoma kwanza ndo hela yangu tunabadilishana.Nipe nikupe. Hii mambo ya kucheza pata potea ipo siku utaliwa hela mingi. Sema jamaa mweeeee
Hujakutana na wanaume bali wahuniHasa vijana wa Dar. Hawapendi kazi ila kujikweza sasaaa. Kumbe hela za bata wanakopa wanawake wakawape bata wanawake wengine. Wengine hata line hawahami mama wanakomaa na wewe kama vile hawaoni unavyodai.
Sema kukopa kuna mmoja achkia ko humu anakopa na harudishi
Wengine wanakopa wakabeti...lol hivi watu tunahaha kutafuta hela za mitaji wao wanakopa za kubetia...mayo zaoo...