Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Mtihani unaufanya unapata cheti
 
Tofauti ya malaya na mke ni kwamba mke aongwi kama wew , unatabia ya kupenda hongo tafakari your position
 
WEWE MUMU achazako angalia na kike waomba omba vocha na kujiuza uza ovyo waambie wafanye kazi na sio kutuvalia nusu uchi mana atauko niwizi pia[emoji21][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Sitaki kukumbuka mkuu, maana damu itamwagika na humu ndani patachafuka...[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]jamaniii miye sijui ujueee!!hebu nipee
 
Lkini huyo mtu asipokukopa yeye angekula wapi hana means nyengine,wakukopwa hawabaguliwi mim mwenyew dem akileta mazoea virngu kwa sana tu ndio tusizoeane...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lkini huyo mtu asipokukopa yeye angekula wapi hana means nyengine,wakukopwa hawabaguliwi mim mwenyew dem akileta mazoea virngu kwa sana tu ndio tusizoeane...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao wanaume watakuwa wa dsm.
 
Ujinga wa dada zetu wao kukopa kwetu wanaona kawaida ila sisi tukiwa na shida tukikopa wao wanaita sisi marioo...
 
Pesa Ya mwanamke yake, pesa ya mwanaume yetu..!! Ukiona mwanaume au kijana kakopa pesa na harudishi ujue anajilipa kwa hasara aliyo pata. Kama sio kwako basi kwa ndugu yako au mwanamke kama wewee.
 
Pesa Ya mwanamke yake, pesa ya mwanaume yetu..!! Ukiona mwanaume au kijana kakopa pesa na harudishi ujue anajilipa kwa hasara aliyo pata. Kama sio kwako basi kwa ndugu yako au mwanamke kama wewee.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] arudishe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…