Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109]
 
Huo utapelii!sasa[emoji3][emoji16][emoji16]
 
Daaah hivi sisi waendesha guta tunasoko kweli
 
Angekuwepo humu ningemtagi huu ujumbe ni wake kabisa mfgythtjkhjkihgfyk
 
Huo utapelii!sasa[emoji3][emoji16][emoji16]
Niliwahi kuuliza kama kuna haki za wanawake za wanaume ni zipi? Shule tunaenda sote tena kipaumbele wanapewa wanawake, ajira tunapata wote tena sometym unakuta idara moja mshahara sawa.!
Halafu unakuta bado mtu anajifanya eti anataka pesa apewe yeye tu kisa mwanamke!![emoji53][emoji53]
 
Vyote hvyo havibadilishi asili ya mwanadamu kamwee ndo maana mwanaume kuna tabia ukiwa Nazo utaitwa shoga na mwanamke tom boy....so we can't change nature!!wewe utakula kwa jasho miye ntazaa kwa uchungu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…