Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
[emoji1] [emoji1] hhhh mamy wew ni moto ila kwa wakwetu hatujazoea hvyo btw nataman nikufaham.Wapo wanaohonga ila sio miye[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] hhhh mamy wew ni moto ila kwa wakwetu hatujazoea hvyo btw nataman nikufaham.Wapo wanaohonga ila sio miye[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Miaka 20 njoo PM basi tuwasiliane baby.Nihonge tu kwani ntakataa..kwanza una miaka mingapi?!!
Kwenye ibada ya jioni nilikua...[emoji4] [emoji4]Where to...?!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hakirudi kitu, na kama alishawahi ipitia papuchi yako ndo sahau kabisa, wanaume wa kizazi hiki wanajua haki zao za msingi sio kama wale wa zamani, wengi wao ni wanaharakati wa haki za wanaume wanapinga uonevu kimya kimya kwa vitendo.![emoji28][emoji28][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] arudishe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109]Hakirudi kitu, na kama alishawahi ipitia papuchi yako ndo sahau kabisa, wanaume wa kizazi hiki wanajua haki zao za msingi sio kama wale wa zamani, wengi wao ni wanaharakati wa haki za wanaume wanapinga uonevu kimya kimya kwa vitendo.![emoji28][emoji28][emoji23]
Huo utapelii!sasa[emoji3][emoji16][emoji16]Hakirudi kitu, na kama alishawahi ipitia papuchi yako ndo sahau kabisa, wanaume wa kizazi hiki wanajua haki zao za msingi sio kama wale wa zamani, wengi wao ni wanaharakati wa haki za wanaume wanapinga uonevu kimya kimya kwa vitendo.![emoji28][emoji28][emoji23]
Naunga mkono hoja...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Vipi una kaushuhuda kidogo?Vijana waache kudanga na kutapeli watu!!
Hamonaiz si anakazi nzuri tu anaingiza mabilioni jmn anadangaje tena mweh!Mwenyekiti wao ni hamonaizi
Kwanza ukaribu nao tu hutwo tuvulana sinaga nawasikia tu kuwa kuna tuvulana tudangaji
Daaah hivi sisi waendesha guta tunasoko kweliYaani hapo kwenye kuhanagaika ndio penyewe...Jamaniii akina Dada tunaamka lukwilii kwenda kupambana na hali zetu tunauza hadi ming'okoo na panya ili tupate rizki...halafu mwanaume unaejiita rijali unapanga kupiga vizinga aseee wanaume dizaini hii mnahitaji rehema mnoo...acheni umarioo fanyeni kazi...utatapeli wangapii??utabadili laini ngapii??utahama location ngapi??mfyuuuu
Siku hizi hakuna rizki kitako,lazima uamke uliache shuka ukapambane,.wanaume wenye tabia hii muache mtakuja pigwa risasi za kichwa kama sio za.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
Angekuwepo humu ningemtagi huu ujumbe ni wake kabisa mfgythtjkhjkihgfykYaani hapo kwenye kuhanagaika ndio penyewe...Jamaniii akina Dada tunaamka lukwilii kwenda kupambana na hali zetu tunauza hadi ming'okoo na panya ili tupate rizki...halafu mwanaume unaejiita rijali unapanga kupiga vizinga aseee wanaume dizaini hii mnahitaji rehema mnoo...acheni umarioo fanyeni kazi...utatapeli wangapii??utabadili laini ngapii??utahama location ngapi??mfyuuuu
Siku hizi hakuna rizki kitako,lazima uamke uliache shuka ukapambane,.wanaume wenye tabia hii muache mtakuja pigwa risasi za kichwa kama sio za.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
Niliwahi kuuliza kama kuna haki za wanawake za wanaume ni zipi? Shule tunaenda sote tena kipaumbele wanapewa wanawake, ajira tunapata wote tena sometym unakuta idara moja mshahara sawa.!Huo utapelii!sasa[emoji3][emoji16][emoji16]
Vyote hvyo havibadilishi asili ya mwanadamu kamwee ndo maana mwanaume kuna tabia ukiwa Nazo utaitwa shoga na mwanamke tom boy....so we can't change nature!!wewe utakula kwa jasho miye ntazaa kwa uchungu!!!Niliwahi kuuliza kama kuna haki za wanawake za wanaume ni zipi? Shule tunaenda sote tena kipaumbele wanapewa wanawake, ajira tunapata wote tena sometym unakuta idara moja mshahara sawa.!
Halafu unakuta bado mtu anajifanya eti anataka pesa apewe yeye tu kisa mwanamke!![emoji53][emoji53]