Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Yaani hapo kwenye kuhanagaika ndio penyewe...Jamaniii akina Dada tunaamka lukwilii kwenda kupambana na hali zetu tunauza hadi ming'okoo na panya ili tupate rizki...halafu mwanaume unaejiita rijali unapanga kupiga vizinga aseee wanaume dizaini hii mnahitaji rehema mnoo...acheni umarioo fanyeni kazi...utatapeli wangapii??utabadili laini ngapii??utahama location ngapi??mfyuuuu

Siku hizi hakuna rizki kitako,lazima uamke uliache shuka ukapambane,.wanaume wenye tabia hii muache mtakuja pigwa risasi za kichwa kama sio za.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] umenikumba ming'koo wenyewe wanavyo itafunaga, japo mie haipandi ila nishaonja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm huyuu...unikope tena,unizungushe,useme unaumwa figo,uzime na simu,nianze kukutafuta kwa majirani,nisononeke,biashara yangu iyumbee hapana Jamaniii mm sitaki mkopoo sitakii kabisaaa
Uje unipige tena Mzinga? wa Hela Nyingi? Nikose Amani kazini? Nidondoke kwa Presha? Hapana kabisa
 
Back
Top Bottom