Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Mnahangaika nn mgeuza wanaume vitegauchumi.wanawake mnawatesa sana wanaume.
 
Mpenzi hata sijaelewaa ,nieleweshee,halaf nikasome uzi
Hahahaha umeona G katajwa umechanganyikiwa mama nimetoa mfano kuwa mwanaume marioo unaweza tongozwa ukajua mwanaume wa maana anakupenda na kukujali kama vile G unavyomsifiaga anakujali kila sehemu ukajua na ww umepata G wako tena kama mama sabrina kumbe umepata marioo mpaka kuombwa hela na kukopwa

Soma uzi sasa nalala
 
Woiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm huyuu...unikope tena,unizungushe,useme unaumwa figo,uzime na simu,nianze kukutafuta kwa majirani,nisononeke,biashara yangu iyumbee hapana Jamaniii mm sitaki mkopoo sitakii kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulale unono babe wanguu....
 
Hahahahaha G wangu teeenaa ,nimesoma ndio nikaelewa acha kabisa aisee wanaume wanaojielewa lazima watunze wapenzi wao au wake zao,hawa mario watapata tabu sana,na wanawake wanaowalea sidhani kama wana furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…